AFYA TIBA

AFYA TIBA

Share

wa me/255753258365

02/06/2023

💊💊💊BF SUMA 💊💊💊

Leo tuzungumzie kuhusu tatizo la TEZI DUME

🔹TEZI DUME ni moja ya tezi la uzazi la kiume ambalo kila mwanaume analo, tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo na linazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume.

🔹Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nalo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa na kawaida au saratani.

💉💉AINA ZA MAGONJWA YA TEZI DUME 💉💉

1️⃣Maambukizi ya bakteria (prostatitis)
2️⃣Kukua kwa tezi dume ambalo sio saratani (Benign prostatic Hypertrophy-BPH)
3️⃣saratani ya Tezi Dume

TATIZO LA TEZI DUME KUTANUKA
Tezi dume likiongezeka ukubwa yaani inapotanuka,hasa kwa wanaume wenye umri mkubwa zaidi ya miaka 60,hutatiza kukojoa

KAZI YA TEZI DUME
Tezi Dume ni kiungo kidogo na nisehemu mojaya uzazi wa wanaume.
Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo wa njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume.
Tezi dume ndiyo hutoa majimaji yanayobeba mbegu(manii) ya mwanaume.

➡️TEZI DUME KUTANUKA ni tatizo la kawaida ambalo husababishwa na saratani (kansa)
🔸Ugonjwa wa kutanuka kwa tezi dume ni ugonjwa wa wanaume wazee.

DALILI ZA KUPANUKA KWA TEZI DUME👇🏿👇🏿
1️⃣Kukojoa mara nyingi nyakati za usiku

2️⃣Kulazimisha mkojo kutoka kwa kutumia nguvu hasa wakati wa usiku

3️⃣Mkojo kutiririka polepole, hukatikakatika na hutumia nguvu kutoka

4️⃣Mkojo kushindwa kutoka hata wakati mtu anapohisi kukojoa

5️⃣Matone ya mkojo kuendelea kutoka hata baada ya kukojoa

6️⃣Mkojo Hauishi kwenye kibofu

❇️Dalili hizi huonekana baada ya umri wa miaka 50

SARATANI YA TEZI DUME
Saratani ya Tezi Dume maana yake ni tezi dume imepata ugonjwa wa saratani

VISABABISHI HATARISHI KWA SARATANI YA TEZI DUME
1.Umri mkubwa kuanzia miaka 50

2.Nasaba(ukoo wenye historia ya Saratani hii)

3.Lishe hatarishi (nyama nyekundu kwa wingi,mafuta/isamli,maziwa ya krimu)

4.Unene uliokithiri

5.ukosefu wa mazoezi

6.upungufi wa virutubisho k**a vitamin D
Maambukizi ya marakwamara kwenye tezi dume

DALILI ZA SARATANI YA TEZI DUME

1.Udhaifu katika Utoaji wa mkojo,mkojo Hauishi
2.kukojoa mara kwa mara
3.Damu ndani ya mkojo
4.kushindwa kukojoa
5.Maumivu ya mifupa na nyonga

TATIZO HILI LINATIBIKA BILA UPASUAJI KWA MSAADA ZAIDI KARIBU INBOX AU PIGA SIMU NO 0753258365

28/04/2023

*TEZI DUME NI NINI?.*

Tezi dume hii kitaalamu hufahamika k**a (PROSTATE GLAND) ,Hii Ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume.Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo.Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume.
Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele.Hivyo tezi hii Ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume.Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:-

✓Kukojoa Mara kwa mara.
✓kubakiza mkojo kwenye kibofu.
✓kukojoa saana usiku.
✓Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali.
✓Kupungukiwa nguvu za kiume
✓UTI ya Mara kwa mara.
✓Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo.
✓Figo kujaa maji,hii Ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo.
✓Kupoteza fahamu.
✓Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja.
✓Uume kushindwa kusimama vizur.
✓Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo.

ATHARI ZA TEZI DUME K**A HAITAWAHI KUTIBIWA:-
1)Kushindwa kabisa kukojoa.
2)Kupatwa na maambukizi ya UTI
3)Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu.
4)Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea.
5)Figo inaweza kuharibika.

# la kumaliza hili tatiz kwaushauri zaidiwasilia nasi kwanamba # # # 0753258365

Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo: # #
Kwausha uri wasilia nasi # 0753258365

Want your practice to be the top-listed Clinic in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Kaloleni
Arusha