BMI GROUP
BMI GROUP is a Technology company that is committed to provide best ICT services both hardware based and software based in cheap and affordable price.
21/07/2025
Fanya Biashara yako kuwa special kwa kutumia Emails zenye jina la biashara au kampuni yako.
Vifurushi vyetu vinakupa emails zenye ujazo wa kutosha(storage) pamoja na ulinzi thabiti.
Kuwa huru na wa kipekee kwa kutumia huduma bora kutoka Mails Tanzania.
Tupigie/whatsapp: +255 752 560 353
Tutumie Email: [email protected]
18/04/2025
On this solemn Good Friday, may you find moments for quiet reflection, peace, and enduring hope.
We wish you and your loved ones a blessed Easter weekend filled with renewal and the promise of brighter days.
May it bring renewal and brighter days ahead for you and yours.
Happy weekend!
13/10/2022
Kwa kutumia Wajuze Communications]
Wezesha biashara au taasisi yako kuwasiliana na wateja kwa kutumia ujumbe mfupi wa meseji wenye jina la biashara au taasisi yako.
Kwa kutumia Wajuze app, utaweza kutuma ujumbe uutakao kwenda kwa idadi ya watu uitakayo ndani ya sekunde chache tuu.
Unaweza unganisha app yetu na namba za simu zilizopo kwenye simu yako ili kupata urahisi wa kuchagua ni namba zipi unataka kutuma ujumbe wako.
Ni rahisi, salama na nafuu.
Pakua app yetu playstore kufurahia huduma zetu au tembelea tovuti yetu.
wajuze.com
Follow Wajuze Communications]
🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Kwa Mrefu
Arusha
23112