HOT STORY SITE
HOT STORY SITE| FOR TRENDING STORIES IN TOWN| UNDER NGALE SON TZ PROFESSIONAL JOURNALIST FROM SAUT MWANZA| FOLLOW US FOR MORE INFO
20/06/2025
🚨Wirtz Avunja Rekodi ya Usajili Liverpool
Florian Wirtz amejiunga na Liverpool akitokea Bayer Leverkusen kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 100, inayoweza kufikia milioni 116. Usajili huu unamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya Liverpool. Wirtz amesaini mkataba wa miaka mitano na alikataa ofa kutoka Bayern Munich na Manchester City.
Wirtz alianza kucheza Bundesliga akiwa na umri wa miaka 17, akiwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea Leverkusen. Alicheza mechi 119, akifunga mabao 38 na kusaidia 43 chini ya kocha Xabi Alonso.
Katika msimu uliopita, alihusika kwenye mabao 30 – akifunga 16 na kusaidia 14. Aliongoza Bundesliga kwa dribbles zilizofanikiwa na mchango wake ulisaidia Leverkusen kushinda Bundesliga na DFB-Pokal bila kupoteza mechi ya ndani.
Wirtz anakuwa mchezaji wa pili kutoka Leverkusen kujiunga na Liverpool baada ya Jeremie Frimpong. Anatarajiwa kuanza kuitumikia Liverpool kwenye FA Community Shield dhidi ya Crystal Palace Agosti 10.
20/06/2025
🚨CHELSEA KIBAO KIMEWAGEUKIA
DK YA 83 YAN ANAIANDIKIA FLAMINGO GOLI LA 3
20/06/2025
Dk ya 68 Nicolas Jackson red card ♦️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Oldadai Arusha
Arusha