Do2Do Delivery Services
DO2DO Delivery services n kampun.
22/03/2020
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Je umechoka au huna muda wa kwenda sokoni??
Je kazi zinakubana na kupata shida ya kwenda sokon??
bas usipate tabu
*DO2DO Delivery* Tunakufikishia bidhaa zote kutoka sokon mpaka nyumbani kwako kwa ubora na umakin wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi:
Bidhaa zote za sokon yan Groceries zikiwa fresh kabisa zinapatikana kwa bei nafuu sana.
Pia bidhaa za dukan k**a mikate, peanut butter, mayonnaise, asali, margarines, sukar, mchele, unga n.k vyote vinapatikana..
Pia tunasambaza matunda ya aina zote kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu: maembe, machungwa, mapapai, mananasi, ndizi, parachichi, mapassion n.k
kwa maelezo zaidi na kuweka order yako tupigie au tuma txt kawaida au WhatsApp kupitia:
0626407028 au
0675556439
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 19:00 |
| Tuesday | 07:00 - 19:00 |
| Wednesday | 07:00 - 19:00 |
| Thursday | 07:00 - 19:00 |
| Friday | 07:00 - 19:00 |
| Saturday | 07:00 - 19:00 |
| Sunday | 07:00 - 19:00 |