Mch. Meng'oriki
Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo, mimi nimeushinda ulimwengu. Yoh 16: 33b
15/02/2023
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myuyani pia. Rum 1: 16.
15/02/2023
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina. (Rum 1: 25)
Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha
23100