SIMBA TV
THE AM OF THIS PAGE IS TO GIVE OUT THE UPDATES OF OUR TEAM SIMBA SPORT CLUB ......SIMBA NGUVU MOJA�
01/08/2023
✍️Baadhi ya Wachezaji Wa Simba Jana Walifanikiwa kufanyiwa Medical Check Up Ili kujua Afya Zao Kutokana na Kuchelewa Kuwasili Kambini hii ilisababishwa na Mambo ya Usajili Na Wengi Waliofanyiwa Walikuwa ni Wachezaji Waliosajiliwa na Klabu hiyo!
Awamu ya kwanza Ilifanyika Kwa Waliokuepo walifanyiwa Kabla ya Kuwasili Kambini!
Klabu Kubwa Mambo Makubwa 🙌
15/07/2023
Msijifanye bize na huo usajili wenu wa kho! kho! kho! kho! yao! yao! leo mmecheza mechi ya kirafiki na mmekandwa!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
9999
Arusha