GEMSA
GEMSA is a professional, qualified and certified conglomerate group. Not only are the products themselves excellent, but so is the customer service.
21/07/2025
Release tension, boost circulation, and feel renewed with our professional cupping therapy sessions.
Book your appointment today and let your body thank you later! 💆🏾♂️🔥
📍GEMSA Wellness |
24/07/2024
Kisukari sio mwisho wa kuishi maisha bora, tambua njia sahihi za kuishi na changamoto hizi kwa kuongea na daktari wetu kwa maelezo zaidi yatakayokusaidia.
Karibu sana kwa mazungumzo ya kina.
16/07/2024
🌡Ombi kwa Umma:
Tunaendelea kusisitiza kuongea na rafiki/ndugu/mwenza wako kuhusu changamoto zako za maisha na namna unakabiliana nazo na kupeana moyo na namna ya kusaidiana kuvuka salama bila kuruhusu msongo wa mawazo/kukata tamaa kuwa chanzo cha kuleta adhari katika afya ya akili yako.
Tambua hauko mwenyewe, kuna watu wanajali uhai na ustawi wako. Usijiue, unahitajika!
Pambana bila kukata tamaa na tunashauri kuongea ili kuruhusu nafasi ya uponyaji wa afya ya akili.
|
A simple reminder from us in this July National Minority Mental Health Awareness Month.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Old Arusha Road Plot 45
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 21:00 |
| Tuesday | 08:00 - 21:00 |
| Wednesday | 08:00 - 21:00 |
| Thursday | 08:00 - 21:00 |
| Friday | 08:00 - 21:00 |
| Saturday | 09:00 - 19:45 |
| Sunday | 09:30 - 18:00 |