AFYA

AFYA

Share

Tunza afya ,,tunza afya Yako, tumia chakula k**a dawa na sio dawa k**a chakula

19/01/2023

AFYA
,, Afya ni mhim sana Kwa Kila mtu ,,bila kuwa na afya njema huwezi kufanya kazi,,huwezi kuwekeza katika ENEO LA uchumi ,,huwez kumtumikia Mungu ipasavyo ikiwa afya Yako ni duni

Hivyo ni mhim sana kutunza na kujali afya Yako Kwa :
1,kula Kwa wakati
2,kula matunda
3,Usafi wa mwili na mazingira

Kila siku , tumia chakula k**a dawa na sio dawa k**a chakula ,, kula matunda Kwa wingi ili kuimarisha mwili nakuupa mwili uwezo wa kufanya kazi ipasavyo

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Arusha
74470