AFYA TIPS
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA TIPS, Health/Beauty, Dar es salaam, Arusha.
Je mpaka sasa bado unapata tu kiungulia!?
Wengi wanaweza wasinielewe na kuniamini ila sihitaji kueleweka na wengi wala kuaminiwa na wengi nahitaji nieleweke na kuaminiwa na watu wachache ambao wanaamini Afya zao ndio kipaumbele number moja kisha mambo mengine yatafuata.Ambao wanafaham ukubwa na madhara ya changamoto za tumbo na koo kwa ujumla ..... hawa ndio nataka waniamini na bahati nzuri Wote walioniamini wanazifurahia Afya zao ........
This is Hassan mansoor
NDANI YA SIKU CHACHE TU 😳🔥
Watu wengi wanateseka na kiungulia na matatizo ya tumbo wakidhani ni hali ya kawaida… lakini ukweli ni kwamba kuna suluhisho sahihi.
Huyu ni mmoja wa wateja wangu 👆
Alianza dose siku chache tu zilizopita lakini tayari ameanza kuona mabadiliko makubwa sana!
✔️ Kiungulia kimepungua
✔️ Tumbo liko sawa
✔️ Anakula bila shida tena
Usisubiri hali iwe mbaya zaidi…
📩 Nicheki inbox nikuelekeze jinsi ya kuanza na wewe.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Arusha
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |