Sound & Vision Ltd

Sound & Vision Ltd

Share

Laptops • Desktops • Printers • Scanners • Peripherals
Trusted Tech Store | 📍Sokoine & TFA | #soundandvisiontz | Live IT

08/07/2026

LENOVO AIO A100 Cloud Grey ni All-in-One Desktop yenye Intel N100 Processor, 8GB RAM, 512GB SSD na screen kubwa ya 23.8” FHD kwa utendaji mzuri wa kazi za ofisini, masomo na matumizi ya kila siku. Inakuja na Wired Keyboard & Mouse pamoja na dhamana ya mwaka 1.

Kwa maelezo zaidi na punguzo la bei, tafadhali wasiliana nasi kupitia:

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

29/06/2026

Iwe ni kwa ofisi ya nyumbani, biashara ndogo au matumizi ya kila siku, Canon ni printer nzuri na inayokufaa kwa kazi zako. Chapisha kwa haraka, kwa ubora na bila usumbufu.

Chagua Ubora. Chagua Canon.

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

26/06/2026

Lenovo ThinkPad X1 Carbon ni laptop ya kisasa na ya premium yenye nguvu kwa kazi za biashara, ofisini na multitasking ya kiwango cha juu. Ina performance ya haraka, design nyepesi na uimara wa hali ya juu kwa matumizi ya kila siku pamoja na kazi nzito za kitaalamu. Inakuja na Intel® Core Ultra 7 155U Processor, 16GB LPDDR5 RAM na 2TB Gen4 SSD kwa speed kubwa, storage ya kutosha na matumizi laini bila kusuasua. Pia ina 14” WUXGA Display kwa muonekano mkali na Windows 11 Pro kwa productivity bora. Ina 1 Year Warranty.

Bei: Tshs 5,299,000 incl VAT

TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
[email protected]

22/06/2026

HP Smart Tank 750 ni printer ya kisasa ya ink tank inayofaa kwa ofisi, biashara na matumizi ya nyumbani, ikitoa uchapishaji wa ubora wa juu kwa gharama nafuu. Inakuja na 1 Year Warranty kwa uhakika wa matumizi.

SPECIAL PRICE: TShs 799,000 VAT Incl.

Kwa maelezo zaidi wasiliana:
TFA Complex: +255 759 750 720
Sokoine Road: +255 767 872 537
Email: [email protected]

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Sokoine Street
Arusha