Matrix Attorneys
a medium size law firm based in Arusha, Tanzania.the firm offers its services to clients throughout
18/07/2024
Hata k**a hakuna ndoa, Mahak**a ina uwezo wa kuamuru mgawanyo wa mali.
Hidaya Ally v Amiri Mlugu, Civil Appeal No. 105 of 2008, Court of Appeal (Tanzlii) Presumption of marriage, division of matrimonial property, supervising construction of a matrimonial house, contribution to acquisition of the house.
18/07/2024
MGAWANYO WA MALI ZA NDOA. Kusimamia ujenzi wa nyumba ya mwenzi ni mchango halali kwenye upatikanaji wa nyumba hiyo. Swali la mgawanyo wa mali za ndoa linapoibuka, aliyesimamia ujenzi atapata mgao kutokana na kazi yake hiyo ya kusimamia ujenzi.
Hidaya Ally v Amiri Mlugu, Civil Appeal No. 105 of 2008, Court of Appeal (Tanzlii) Presumption of marriage, division of matrimonial property, supervising construction of a matrimonial house, contribution to acquisition of the house.
18/07/2024
HATA K**A HAKUNA NDOA, MGAWANYO WA MALI UKO PALE PALE. Ile janja janja ya baadhi ya watu (mnawajua) kutaka kubaki na mali zote peke yao baada ya uhusiano wa kuishi kinyumba (bila ndoa) kuvunjika kwisha habari yake. Mahak**a ina uwezo wa kuamuru mgawanyo wa mali baina ya watu wawili waliokuwa wanaishi kinyumba hata k**a hakuna dhana ya ndoa (presumption of marriage). Sharti ni kwamba mali iwe imechumwa kwa jitahada za pamoja (joint efforts).
Kwa hiyo ile habari ya mtu mmoja kuondoka mikono mitupu na mwingine kubaki na kila kitu haipo kisheria. Cha muhimu tunza risiti zako, tunza nyaraka vizuri maana iko siku utazihitaji. Usizame tu kwenye “makopa” ukasahau mambo mengine ya muhimu.
Valentine Leopold Ndanu v. Eva Aminiel Kitomari and Dr. Edmund Kilawila Leo, Court of Appeal, 2024 (Tanzlii) Cohabitation, jointly acquired property, presumption of marriage, sale of a jointly acquired property without the consent of the other joint owner, forgery, advocate who attested the sale agreement to testify, special damages.
23/11/2021
Uamuzi mzuri sana juu ya masuala ya kuachishwa kazi kwa kulazimishwa (constructive termination/forced resignation)
COURT OF APPEAL OF TANZANIA, 2021 - matrix-elibrary Constructive termination, forced resignation – labour laws have been domesticated – keyboard mistake – mere slip of the pen – working relationship had become so unbearable – Objective test – Subjective test – duty to prove the objectivity of the intolerability – exhaust all available...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Our Story
Matrix Attorneys is a legal and consulting firm with its headquarters in Arusha - Tanzania.
Depending on the nature of assignments, the firm has capacity to offer its services to clients throughout Tanzania in association with its affiliate sister firms in Dar es salaam, Kilimanjaro, Tanga, Mwanza, Mbeya, Mtwara, Tabora and other parts of Tanzania.
Category
Website
Address
King Solomon’s House – 1st Floor Corridor Area, Kanisa Road P. O. Box 7104
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |