Testimony Sports Academy

Testimony Sports Academy

Share

"Kuibua kukuza na kuendeleza vipaji vya mpira wa miguu soka la vijana mkoa wa arusha na mikoa ya jirani na tanzania kwa ujumla"

20/08/2016

AIRTEL RISING STARS:-leo ni testimony vs chrisc saa 10 jioni uwanja wa shehkh amri abeid

Photos 15/08/2016

Tayari mashindano yamezinduliwa jana jumapili hapa mkoani arusha.

Photos 15/08/2016

Jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya airtel rising stars uwanja wa sheikh amri abeid.

21/07/2016

Maandalizi ya mashindano ya airtel rising stars msimu wa 2016 yanaendelea vizuri,vijana wanajifua kikamilifu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Po Box. . 15913 E-mail Tsatanzania@gmail. Com
Arusha
ARUSHA