Savior Ministry

Savior Ministry

Share

Tunapenda kuwakaribisha Watu wote katika Page yetu.Huduma hii inahusisha madhehebu mbalimbali, lengo ni kujenga mwili wa kristo YESU pamoja

03/07/2020

*MKATE 🥪 wa ASUBUHI*

"Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote." Yohana 15:5 SUV

“I am the Vine; you are the branches. The one who remains in Me and I in him bears much fruit, for [otherwise] apart from Me [that is, cut off from vital union with Me] you can do nothing." John 15:5 AMP

Nje ya YESU KRISTO hakuna utakaloweza, Ukikaa ndani yake nae ndani yako umeingia kwenye level za *YASIYOWEZEKANA KUWEZEKANA*



Follow Us Instagram:




```UTOSHELEVU wetu watoka kwa BWANA```


*Savior Ministry*

26/06/2020

*MKATE 🥪 wa ASUBUHI*

"Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;" 1 Wakoritho 6:19 SUV

“Do you not know that your body is a temple of the Holy Spirit who is within you, whom you have [received as a gift] from God, and that you are not your own [property]?" 1 Corinthians 6:19 AMP

Wewe siyo Mali yako mwenyewe ndiyo maana mwenye Mali (MUNGU) anakukumbusha. Usijitumie Vibaya.



Follow Us Instagram:




```UTOSHELEVU wetu watoka kwa BWANA```


*Savior Ministry*

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha