GADI TV
GADI TV ni televisheni ya Mtandaoni ambayo inajihusisha na kutoa maudhui ya Kijamii na Kisiasa.
Baada ya mwanamke anayefahamika kwa jina la Jenipha Paskali (28) mkazi wa kata ya Olasiti Jijini Arusha, kueleza kuwa kila wiki anatumia shilingi laki sita kusafisha damu yake kutokana na figo zake kushindwa kufanya kazi, na wasamaria wema kumsaidia kulipia gharama kwa muda wa miezi minne, hatimaye muda huo umekwisha, na sasa anaendelea kukandamizwa na changamoto hiyo bila msaada wowote.
Ikumbukwe kuwa Jenipha alieleza GADI TV kuwa tatizo la figo zake kushindwa kufanya kazi, lilikuja mara baada ya kuishi maisha ya kutokunywa maji ya kutosha mwilini, ambapo mwili wake ulianza kuvimba ghafla kutokana na changamoto hiyo.
Unaweza kuwasiliana na Jenipha kwa msaada zaidi kupitia namba yake 👉🏻 +255 740 540 489.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha