Samweli ole stafu
Ashe enkai tene nekindabaikia
09/10/2024
26/08/2024
Tunakushukuru MUNGU sana maana tumekuona losikito kwakweli watu wa losikito MUNGU awabariki sana maana mmekuwa watu wa maana mbele za MUNGU wa isiraeli na mungu awabariki sana tena sana
10/08/2024
Shallom shallom tunawakaribisha watu wote kwenye uzinduzi wa mwiimbaji john Laizer itakayofanyika loosikito katk kanisa la kkkt usharika wa loosikito usipaaaaaange kukosa
TIAKI ENKAI ASHE TO NIKINTAASA
26/06/2024
Tunawalika watu wote dukabovu 13/7 usipange kukosa uwepo kwako ndiyo mafanikiyo yetu piya tubebane kwa maombi
19/06/2024
Naipenda Sana nchi yangu Tanzania nchi yenye amani nchi yenye utulivu nakuombe 2025 MUNGU atupe viongozi watakaotuongoza kwa amani na utulivu MUNGU ibariki Tanzania MUNGU ibariki Africa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha