Pastor Sam Sasali
Christian Events Reputable Public Figure
21/05/2026
WATU HAWAJALI📌
Mara Kadhaa nimewahi Sema Watanzania wengi Wanaume hawafi Kutokana na Ugonjwa wao, wanakufa either kushindwa kumudu gharama za matibabu, uzembe kwenye huduma ama Upungufu wa Vitendea Kazi mfn. Mitungi ya Oksijeni etc....Fedha (sio Ukwasi) inakupa nafasi ya kufanya machaguo ya Uyatakayo.
Biblia inasema "Hekima Ya Masikini Haisikilizwi" ni Vema tukawa very Seriously na Kila fedha Mungu anayopitisha mikononi Mwetu zipo Nyakati na Majira tutazikumbuka sababu hatukufanya zitusaidie baadae.
Tunapambana Miaka 50 kupata fedha ambazo tunatumia fedha hizo hizo baadae kututibia maradhi ya Uzeeni.....Hii sio Sawa.....
Mungu Akupe Neema Ya Kuuweza Wakati Ujao...
Reposted from
Today Gona be a Good Day....
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha