CCM Dijitali - Blog

CCM Dijitali - Blog

Share

Karibu katika hii Globu ya jamii kwa habari mbali mbali na matukio, Kitaifa na Kimataifa. Unakaribishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu.

Photos from CCM Dijitali - Blog's post 14/01/2024

RAIS DKT.MWINYI AFUNGA MAFUNZO YA WANEC

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefunga semina ya mafunzo ya Uongozi ya siku mbili kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan ,

📌 Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
🗒 14 Januari 2024.

Photos from CCM Dijitali - Blog's post 13/01/2024

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

13/01/2024

📌📌 MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Siku Mbili ikiwa na Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Arusha