Forex_Reality_Arusha.tz
Smart forex investors
Exceptional and extraordinary minds
Services
♧FX EDUCATION PROVIDERS.
♧ACCOUNT MANAGEMENT CONTRACTS
Call/WhatsApp +255-625934471
15/07/2022
✍Mgawanyo wa asilimia za Kimaarifa ni huu RISK MANAGEMENT 30%, STRATEGY 10% na PSYCHOLOGY 60% Ni tofauti na mgawanyo wa trading operation ambao ni ENTRIES 30%, HOLDING 35% and EXIT 35%.
✍Si ktk trading pekee hii ni kwa maisha kiujumla "Kuingia kunawiana na kutoka" lkn pia "Kujua when to leave" kwenye jambo lolote lile la kiubinadamu ndio nguzo ya mafanikio kwa kuwa hakuna kisicho na two sides so kujua when to leave hufanya kuikwepa gharama ya negative side.
✍Ni rahisi kuona Fx training stuffs zikisisitiza zaidi "on how to find entries" wengi wakisema nimeona trading opportunity kinacho-sound ndani yake ni ameona entry point then ndio anaanza kutafutia wapi atatoka huku msisitizo wa kiufundi ndani yake ukipungua kwa kuona kazi kubwa ilikuwa kuiona hiyo entry
✍Jitahidi uelewe hapa patakuvusha mahali, entry ni k**a mlango tu wa opportunity, unapoingia ndani k**a hauna uhakika wa kwamba utakaa muda gani ndani ambako kuna confusions na illusions kuna mawili unaweza ukafia ndani kwa kushindwa kuuona mlango ili utoke au ukatokea dirishani.
✍Hakuna mfanyabiashara asiyewaza kwanza kwamba mzigo wake utatokaje baada ya yeye kwenda kuuchukua china na akajikuta tu amedandia meli ya kwenda china kisa inaenda china na ana hela ya kuchukulia mzigo.
✍K**a hauja trade unaweza usielewe sawasawa, lkn wengi wamejikuta 90% ya kilichowaua sokoni walipotakiwa kutoka kwa kufunga trades zao hawakutoka na wametoka ambapo hawatakiwi kutoka au wametolewa, lkn si kwamba walikuwa wanakosea on entries.
✍Asikudanganye mtu kuwa uta-control Emotions, wala wanaofanikiwa usifikiri wanasubiri mpaka Emotions zirise wapambane nazo, tunachofanya ni kuzuia milango ya emotions kurise, kila mtu ni bora at ground state but there's no guarantee akiwa ktk panic or excitement coz katika hali hizo mlango wa logic unakuwa hautumiki.
✍Opportunity siyo opportunity unless umeona utaingilia wapi utakaa muda gani hapo ulipoingia na utatokea wapi, shule ya kujua how long wll you hold and when to exit ni pana and sensitive na kuliko ulichoambiwa. K**a haujawahi kufika mahali ambapo kwa kushindwa kuona mazingira sahihi ya kuhold na kuExit you didn't take the trade licha ya kuona entry! Heheh All the best bro.
24/06/2022
✍Nayo ni hii "Personal days" k**a ilivyoandikwa kwenye curriculum extended version, japo wengine huona neno zuri ni "vacation"....whatever! But all in all ni kumaanisha MAPUMZIKO.
✍Ni rahisi watu wa nje kuona unafanya kitu rahisi sana anapokuangalia ukitrade coz ni chini ya 2% tu ya nguvu ya mwili inayotumika, zaidi ya 98% ni kuumia kwa linkage ya ubongo na akili yako ktk kutrade.
✍Labda hujajua, ubongo kazi yake ni kupokea ELIMU na AKILI kazi yake ni kubadili Elimu kuwa maarifa, binadamu asiye na akili kabisa huyo kifupi ni kichaa lakini anaweza akawa na akili zisizofanya kazi😀 achana na hii "Aya"
✍Kutokana na kazi yetu kuwa na muundo wa namna hii huingia kwenye kundi maalumu la kazi zinazochosha kwa kiwango cha juu, wale traders active sokoni wataelewa vizuri hapa, tukifika November sometimes hutaki hata kuiangalia platform.
✍Wengi hawawi active the whole year lkn scenario hii wamekutana nayo, wengi wanapoanza kutrade wanauwasha moto fulani hivi hatari sana ambapo wanaanza na mistake namba moja ya kuwa SCALPER at the beginning of their trading journey.
✍Huyu kidume akiwa ana Scalp anachezeshwa shere anaweza kuanza asubuhi mpaka usiku yumo tu, ni mwendo wa kufikicha macho, ni kamlio tu ka "chaa" anapata anatabasamu next few trades zinarudi sokoni, anakimbiza tena akipata profit $18 anasema ngoja niongeze $2 tu iwe $20 kidume nilale sasa, akiingia tu anarudi $13 anapata hasira anaona tena bora $18 yake ileile akiingia anazidi kuserereka, anajikuta kabreakeven, MUULIZE akitoka hapo anajisikiaje!!
✍Anachoka maradufu ya aliyeenda shamba, curriculum extended version imejaribu ku-cover vitu vingi vya msaada, imesisitiza angalau uwe na miezi 3 ya kupumzika katika mwaka. Tunakuwa tuko under pressure ya mahitaji, mitaji midogo mahitaji makubwa lkn haiondoi uhalisia wa kinachotakiwa.
✍Anza hata kupumzika mara mbili kwa mwaka katikati na mwishoni mwa mwaka itakusaidia, ilikuwa ngumu lakini tulipojaribu tumeona faida yake baada ya kupumzika unaanza afresh.
✍Always remember faida kubwa ya hii biashara si pesa nyingi bali ni freedom of time, usiwe mtumwa, average ni chini ya masaa 3 kwa siku professionally. (Heheh na pesa nyingi sana pia ziko lkn hutegemea).
11/06/2022
✍Ni wiki ambayo tumeamua to give at our very best, as our previous post says kesho saa 18:00 tutakuwa tunaanza live webinar ya kwanza kwa huu mwaka, k**a kinachopostiwa hapa umekiona ni potential mpaka kukuweka hapa usikose live webinar "kuongea hakufanani na kuandika"
✍Chukua link mapema.
Tunashkuru kuona watu wanaelewa sasa, mwanzoni ilikuwa tabu kidogo mtu alikuwa anasoma posts k**a "story" mpaka pale watu walipoanza kuona si tu dhima ya post nzima bali sentensi kadhaa zinaweza kusimama k**a independent lessons.
✍Usichoke kurudiarudia kusoma, na usiyaache hapa go and make them yours (back to the post) kuna sentence kwenye post iliyopita ilisema "kabla ya kuyajua mazingira yanayotoa "entries" unatakiwa ujue kwanza mazingira yasiyotoa "entries" na sentence nyingine iliandikwa "Market is there to confuse us, and here we're to turn its illusions & confusions into opportunities"
✍Ilibidi wadau kadhaa tufanye zoom meeting kuhusu hili nimeona nilete na hapa kuongezea nyama faida kwa wengine pia, heheh! Shule ya biashara hii huanzia pale traders wengi walipoishia kujua, "kwenye forex kuna order inaitwa Stop Loss, ni muhimu kuitumia kwa ajili ya Risk Management usipate hasara ambayo hukuipanga" hii sentence siyo shule bali ni "taarifa"
✍Shule inaanzia wapi eneo sahihi la kuweka Stop Loss isiguswe haraka na wakati huohuo T.P isichelewe kufikiwa, watu wengi shida siyo entries, wengi wakipiga simu utasikia "S.L imeguswa then price imerudi kuelekea kulekule nilikokuwa nimelenga" heheh entries kuwa sahihi, kuonekana sahihi, wakati wa kuonekana na mazingira ya kuonekana sahihi ni vitu tofauti.
✍If we turn Illusions & confusions into opportunities, kabla ya kuelewa opportunities elewa kwanza Illusions & confusions, "ili uione fursa ni lazima ulione kwanza tatizo" msingi wa kuelewa mazingira ni MUDA, ukichukua picha ya mazingira ya Dar usiku ni tofauti na ya mchana. "Timing entries" ulishawahi jiuliza imetoka wapi na tuna-time nini?
✍Ulishakutana na haya, ume-buy, ume-sell uka-buy tena, uka-sell tena pair ni hiyohiyo mpaka unajicheka mwenyewe kuwa sasa nafanya nini, ushawahi ku-sell/buy then ukasema no no nimekosea uka-close hapohapo.......
Tutaendelea......
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Arusha