GIBO URIO

GIBO URIO

Share

Love and relationships made life and its how we live, Love is one of the most profound emotions known to human beings.

24/05/2021

Unachukia kupiga picha?

Wewe ni mmoja wa watu wasiopenda kuonekana kwenye picha? K**a ni NDIO basi jua kabisa unatakiwa ubadilike na uanze kupiga picha. Ukienda mahali haujawahi kufika wewe piga picha, umekutana na rafiki usipuuzie kupiga picha.

Kwanini upige picha sasa, Jibu ni rahisi tu, Picha ni mojawapo ya vitu vinavyotunza kumbukumbu na kutukumbusha vitu ambavyo vimepita na havitajirudia.

Mfano: hii picha ilipigwa miaka k**a miwili iliyopita, nimeiona leo kwenye status, inanikumbusha tukio la kupatana, tulikutana garden tukaongea mengi tu, after kupatana ndio siku hii picha ilipigwa japo sikumbuki k**a ni mimi nilipiga au ni yeye. Lkn hii picha inanikumbusha tukio la siku hiyo.

21/04/2021

COFFEE TALK THIS THURSDAY! Join The Small Things (TST) for our spring fundraiser, Coffee4Kids, which kicks-off THIS THURSDAY, April 22, 7 PM ET with a special premiere party hosted online by celebrity lifestyle coach Lisa Nkonoki and featuring her friend and special guest Ray Charles, Jr., son of the legendary singer.

Using live-streaming, Coffee4Kids’ premiere party will broadcast on YouTube and the TST page and participants can join via video link from the comfort of their home.

In addition to an intimate discussion with Lisa and Ray, you'll also get a sneak peek of TST’s new Tanzanian coffee tour including showing techniques for harvesting, roasting and grinding.

To learn more, or to purchase your package, visit https://coffee.thesmallthings.org/ TODAY! Thank you in advance for your support!

Photos 18/09/2019

365/365 days =1year. Another one stated today. Thanks God, family and YOU.

Want your business to be the top-listed Photography Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Arusha
1434ARUSHA