Born 2 Win Ministry
We are here to inspire you to live your life to the fullest.
#Born2Win #VesselsofExellence #Adventure
06/05/2026
*๐ฅ INSPIRED FOR CHANGE SEASON 10 , COMING SOON*
Ezra 10:4
*Inuka; maana shughuli hii yakuhusu wewe; na sisi tu pamoja nawe; uwe na moyo mkuu, ukaitende.*
Ile siku , ya Vijana kukutana kwa Umoja kwa Pamoja hii karibu.
Ni Majira ya Maandalizi, kila mmoja ni FURSA ya kumtumikia MUNGU kwa Dhabihu zetu.
Tuendelee kupanda mbegu kwa MUNGU Wetu.
Ni Mimi na wewe kijana mwenzangu tumeitwa tukamilishe Jukumu hili.
25/02/2026
๐The night of youth sacrifices.
Kuelekea inspired for change season 10.
Huduma ya vijana born to win.
Inakuletea mkesha mkubwa wa kuweka misingi ya 2026.
Ni wakati wa kila kijana kuwepo ngomeni ijumaa hii.
Ili kusema na anga la born to win liachie ulimwengu wa vijana kila angle.
Ni usiku wa kujidhabihu kwa ajili ya wengine.
Usikubali kupitwa na huu mkesha njoo tuanze pamoja kwa umoja katika kujenga youth society.
17/12/2025
*๐ONE DAY STUDENTS CAMP*.
Ni wakati mwingine tena wa WANAFUNZI wa level zote kukusanyika NGOMENI.
Ili KUJIFUNZA namna ya KUMJUA MUNGU, KUMTUMIKIA na KUANDAA KESHO ILIYO TUKUKA.
Ni Camp MAALUM kwa ajili ya KUJIFUNZA NAMNA YA +
1.Develop Spiritual Skills
2.Develop Social Skills
3.Develop Leadership skills.
4.Develop Independence skills .
5.Explore Hobby and Fun.
Ni wakati mzuri wa KUJIFUNZA Kanuni za Maisha zinajenga kesho Bora katika ulimwengu wa MWANAFUNZI.
MZAZI / MLEZI hakikisha Kijana wako wa k**e na kiume HAKOSI Camp hii.
.
.
.
09/07/2025
Tukumbushane Baadhi ya Nondo kutoka kwa Baba Yetu.
Foundations ya Ujanani sio kujenga muscles ni KuStretch AKILI.
"Preparation Ndio MaMa Wa Greatness!!!"
Preparation ulio nayo Ndio itakayo amua ukuu Ulionao!.
Preparation Ndio inayoamua kuvuta Neema Kwenye Maisha yako.
Preparation ni muhimu sana Yana attract Chochote kisingekuja kianze Kuja.
Kiroho hakitakuwa na Maana mpaka hapa kwenye Akili hapatakuwa Smart.
NEEMA YA MUNGU inafanya kazi kwenye uchaguzi
Mtu anayeweza kujenga Spiritual anafananishwa na kiwango cha AKILI.
29/06/2025
Ujana ni asset (rasilimali) ya muhimu kwa ajili ya familia, jamii, Taifa na dunia kwa ujumla, tunapaswa kuitumia vyema rasilimali hii.
Kwenye Maisha ya ujana, huwezi kuepuka Dhoruba (changamoto), ila jambo la muhimu ni kujua namna ya kuzishinda na kuzitumia kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
Nikutakie Mwanzo Mzuri wa Week yako.
22/06/2025
INSPIRED FOR CHANGE. SEASON 09.
Tunamshukuru Mungu kwa Favour hii Kubwa na ya Ajabu kwa ajili ya Vijana. Siku tatu za Nguvu sana, Walio mbali wamefika Nafsi zimempokea Yesu, Hakika ni Ushuhuda mkuu.
Mungu akupe kuishi kwenye hiki ambacho umekipata hapa Kijana in Jesus Name.
21/06/2025
INSPIRED FOR CHANGE SEASON 09.
THEME: LIFE ON THE ROCK. DAY 02.
Hakika Mungu amezidi kutupendelea sisi vijana, Tumekuwa na Wakati mzuri toka asubuhi kwa kufundishwa na Kujua wapi k**a Vijana tunapaswa Kupita. Mungu ameweka vitu vingi kwa waalimu wetu na hakika Vijana Tumepata na Tumefikiwq kwa Hali ya Juu.
Tupende tena kukualika siku ya Kesho kwenye Ibada ya Finishing Strong!! Tutakuwa na wakati mzuri zaidi wa kuendelea na kupata kile ambacho Mungu ameachilia Juu ya Waalimu wetu.
See you tommorow at 09:00am
21/06/2025
NSPIRED FOR CHANGE SEASON 09.
THEME: LIFE ON THE ROCK. DAY 02.
Tumehitimisha Morning Session ya Mkutano wetu Mkubwa wa Vijana.
Kaa tayari tena kwa ajili ya Session ya Pili.
Tupo Live Kupitia Covenant Tv pale YouTube.
20/06/2025
LADIES AND GENTLEMENS!! BROTHERS AND SISTERS..
Ile siku tuliyoisubiri toka mwaka jana hatimae ni Leo Vijana wa Arusha na nje ya Arusha makutano Yetu ni Kanisa la Victory Faith Church Kijenge Mwanama.
Njoo na rafiki yako sasa tujengwe tena na kuwekwa sawa k**a Vijana.
Ila kubwa Zaidi kwa wewe uliye mbali tutakuwa Live Kupitia Covenant Tv.
Usikae Mbali Nasi
13/06/2025
INSPIRED 4 CHANGE.
THEME: LIFE ON THE ROCK
Mathayo 7:24 Basi kila asikiaye hayo maneno yangu, na kuyafanya, atafananishwa na mtu mwenye akili, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba;
Ujana una Mambo Mengi sana ambayo bila kuwa na Misingi mizuri ni ngumu wewe kuona changes. Ujana wetu ni vyema kujengwa kwenye Misingi mizuri ambayo itaamua Kesho yetu.
Je ni Misingi gani? Inajengwq Vipi!?
Naam Karibu Kwenye Lile Kongamano Letu kubwa la Vijana ni Kuanzia Tarehe 20 - 22 Mwezi huu yaani Week Ijayo Usikubali Kukosa Hii.
Chakula na Malazi vitakuwepo Bure Kabisa.
12/06/2025
Hello Hello!!
Na hii ni ya Kwetu, Kesho Tutakuwa na Pre-Conference kuelekea Tukio letu kubwa la INSPIRED FOR CHANGE.
Siku ya Kesho Kuanzia saa Mbili jioni Vijana tutakutana hapa kwa ajili ya Kujifunza.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha