Team ViVa Tz.
HOP HOP Jicho La Mtaa
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo hivyo housegirl/Houseboy wako ulomuacha home naye kashika Remote zote za DSTV, Deki, TV na StarTimes, Kawasha feni kaisogelea, nje kuna taa zinawaka, anampasia nguo Boifrendi wake muuza mkaa, anakunywa maji yako ya Kilimanjaro afu anarudishia ya bombani, maziwa anatumia anaongeza maji, na k**a hujafunga chumba chako, ujue sasa hivi amejilaza kwenye kitanda chako na anajaribisha nguo zako.
Yes we si una fujo za mjini uko online, sasa na wenzio wana fujo za kijijini off-line home kwako. Ngoma Droo kudadeki!=))
😄
15/03/2015
Brilliant New Music of the Gifted Rapper From H20 MUSIC :
B Gway FT Mesen Selekta : MPERA MPERA
Download link : http://tinyurl.com/nufzgjt
Powered by H20 MUSIC
22/01/2015
siku njema wadau
22/12/2014
The Return of King of Metaphors Viva Conscious
New video coming soon
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha