4AUTO&Secure

4AUTO&Secure

Share

We are vehicle GPS tracker seller.No monthly fee.If you can't afford the price you can rent the device,by rent you will pay monthly fee only.

24/03/2019

Tunajihusha na uuzaji wa GPS za magari🚒,tractor🚜 na pikipiki🏍.hivi ni vifaa ambavyo vinauwezo wa kukuonyesha gari🚒 lako mahali lilipo,speed, pia likizimwa au likiwashwa na likianza kutembea unaona...epuka kuibiwa pikipiki🏍 yako maana utaifatilia popote ilipo kifaa hiki kinafichwa sana kwahiyo sio rahisi mtu kugundua kua kuna kifaa hicho kwenye gari🚒 au pikipiki🏍 yako.pia ukinunua kifaa hatuna malipo ya mwezi..au aunaweza kukodisha ukalipa kwa mwezi tuu bei ni ndogo sana..pia unaweza kuomba kufungiwa kwa majaribio uone kinavyofanya kazi kwa muda wa week moja na bila malipo yeyote nak**a hujaridhika na huduma tunatoa kifaa chetu bila wewe kulipia chochote. karibuni sana.kumbuka hata k**a gari🚘 limetoka nje ya nchi litaonekana.

22/03/2019
Want your business to be the top-listed Autos & Automotive Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Sanawari
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 17:30
Sunday 08:00 - 17:30