Afyaboraclinic

Afyaboraclinic

Share

Karibu Afyaboraclinic Kwa Elimu Ushauri Pamoja Na Tiba Sahihi
🚺. Afya Ya Uzazi Kwa MWANAMKE
🚹. Afya Ya Uzazi Kwa MWANAUME
πŸ₯—. Elimika Chukua Hatua

29/04/2026

Kwa jina la Mwenyezi MUNGU aliye hai, kuna neema ya uzazi juu yako β€” lakini pia kuna Elimu ya mwili (science) ambayo ni muhimu kuielewa.

πŸ“Œ Kwanza ujue hili: Kuna aina 2 za mapacha

β€’ Wanaofanana (identical) – yai 1 linajigawanya
β€’ Wasiofanana – mayai 2 yanatoka na kurutubishwa

πŸ‘‰ Sasa ukweli ambao wengi hawajui…

Mapacha wengi hutokea pale mwili wa mwanamke unapopevusha mayai zaidi ya moja kwa wakati mmoja (strong ovulation)

Na hii inaweza KUONGEZEKA kwa:

βœ”οΈ Umri (hasa 35+)

βœ”οΈ Historia ya familia

βœ”οΈ Kuimarisha homoni za uzazi (FSH & ovulation hormones LH)

βœ”οΈ Matumizi sahihi ya dawa za kusaidia ovulation

⚠️ Lakini niweke Wazi Hili: HAKUNA DAWA Ya Uhakika Wa 100% ya kupata mapacha

Usidanganyike ❌

Hata kwa IVF β€” ni uwezekano tu, SIO GUARANTEE.

πŸ“Œ Habari njema ni hii:
Unaweza kuandaa mwili wako vizuri kuongeza nafasi ya ovulation yenye Afya, na hapo ndipo baraka ya mapacha inaweza kutokea.

πŸ™ Naamini Mungu akikuinua kwenye uzazi, anaweza kukupa zaidi ya ulivyotarajia.

Je, uko tayari kuandaa mwili wako kwa ujauzito wa baraka (hata mapacha)?

Afyaboraclinic tumekuja Na π—ͺ𝗒𝗠𝗔𝗑 ♀️ π—™π—˜π—₯π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—§π—¬ π—£π—”π—–π—žπ—”π—šπ—˜ πŸ“¦ Suluhisho La Changamoto za UZAZI Kwa MWANAMKE ✍️

(+255) 0718 510 479
WhatsApp/Call/Text

09/04/2026

HII NI KWA MWANAUME USIPUUZE
Gharama yake 86,600/=Tzshilling

X POWER MAN COFFEE β˜• Kutoka Afyaboraclinic

Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;

1. Fresh maca*
2. Ginseng powder*
3. Tongkat ali*
4. Epimedium*
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

⚫FAIDA ZA KUTUMIA X POWER MAN COFFEE BFSUMA
♂️Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

♂️Kuupa mwili Nguvu zaidi

♂️Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

♂️Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

♂️Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

♂️Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

♂️Kuufanya uume usimame barabara k**a msumari

♂️Kusafisha mishipa ya damu

♂️Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi

**********+√SHARE KWENYE MAGROUP MBALIMBALI Kuweza KUWASAIDIA WAHANGA WENYE CHANGAMOTO HIZOπŸ‘†

WhatsApp/Call and Msg
0718 510 479

***m

05/02/2026

𝗦𝗒𝗠𝗔 π—–π—”π—£π—§π—œπ—’π—‘ π—–π—›π—œπ—‘π—œ πŸ‘‡
UKE MKAVU, MAUMIVU WAKATI WA TENDO, NA HAMU IMESHUKA? HII SI KAWAIDA NA INATIBIKA.

πŸ‘‰ Ukosefu wa ute ukeni (vaginal dryness) si jambo la Kawaida na haliji Kwa Bahati Mbaya

Ni ishara ya wazi ya homoni za uzazi kutokua sawa.

Ukavu ukeni unaweza kusababishwa na:
β€’ Hormonal imbalance (estrogen kushuka)
β€’ Msongo wa mawazo (stress)
β€’ Ujauzito au kunyonyesha
β€’ Dawa fulani
β€’ PCOS, PID, fangasi sugu
β€’ Ukomo wa hedhi

Tatizo likianza, mara nyingi huambatana na:
❌ Maumivu wakati wa tendo
❌ Kukosa raha na kufika kileleni
❌ Hamu ya tendo kushuka
❌ Kuona tendo k**a adhabu badala ya furaha

Na niseme hili wazi:
πŸ‘‰ Mwanamke mwenye uke mkavu yuko hatarini zaidi kupata fangasi na bacterial infections mara kwa mara.

Dalili zake ni k**a: muwasho, harufu mbaya, maumivu, uchafu wa rangi nyeupe/kijani/njano/kahawia.

🌿 Lakini Habari njema:
Ukavu ukeni unaisha kabisa k**a chanzo (root cause) kikirekebishwa.

Fanya Haya Kuongeza Ute Ukeni Kiasili πŸ‘‡
βœ” Badili sahani yako ya chakula
βœ” Punguza sana wanga mwingi na sukari
βœ” Acha junk food, soda, energy drinks
βœ” Kula parachichi kila siku
βœ” Tumia bamia kwa wingi (au tengeneza juice yake)
βœ” Ongeza nyanya chungu na mboga za majani (Hii Ndio BALAAπŸ”₯πŸ”₯)

Haya husaidia:
βœ” Kuongeza ute ukeni
βœ” Kuboresha hamu ya tendo
βœ” Kulinda uke dhidi ya maambukizi
βœ” Kuandaa mwili kwa ujauzito salama

πŸ“Œ Lakini k**a tatizo ni la muda mrefu, chakula pekee hakitoshi.

🌱 π—ͺ𝗒𝗠𝗔𝗑 ♀️ π—™π—˜π—₯π—§π—œπ—Ÿπ—œπ—§π—¬ π—£π—”π—–π—žπ—”π—šπ—˜ πŸ“¦ husaidia:
β€’ Kurekebisha homoni kutoka mzizi
β€’ Kuponya uke na kizazi
β€’ Kuondoa fangasi & PID sugu
β€’ Kuzuia ukavu ukeni kujirudia tena
β€’ Kurejesha raha ya tendo na afya ya uzazi kwa ujumla

✍️Nitumie Neno "UTE" DM πŸ“₯ or WhatsApp

Nitakueleza hatua Njia sahihi za kurejesha ute ukeni wako kiasili, salama na yenye Matokeo ya kudumu

0718 510 479
WhatsApp Call and Text

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


KALOLENI
Arusha