Smart Shooting - Arusha Page
RANGE: Every SUNDAY - 10am - 04pm TMA - Dhahabu Resort - Monduli. MAZOEZI YA KULENGA SHABAHA: Kila J Learn for Safety, Use for Pleasure
22/03/2016
Mh. Rais,
Ninakupongeza kwa kuonyesha mfano mzuri wa umiliki halali wa Silaha sawa na maazimio ya Umiliki Salama wa silaha ndogondogo katika Nchi za Maziwa Makuu na Africa ambapo Tanzania ni moja ya Nchi zilizoweka Sahihi Maazimio hayo; ambapo licha ya maazimio hayo kutakiwa kutekelezwa ki NCHI na Kikanda pia yanatakiwa kutekelezwa katika ngazi zote za Miji hata katika Mji wa Dar - Es - Salaam.
Want your business to be the top-listed Business in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
P. O. Box, 1798 Arusha
Arusha