Hub Afrika

Hub Afrika

Share

Hub Afrika is a Tanzanian owned Company that provides, energy and security products and
Hub Afrika

29/04/2026

ILA METHALI NA WAHENGA🤣🤣🤣🤣
Methali : Usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Sisi : Usioge maji ya baridi na jua lingalipo
hapa droo
Unaogaje aji ya baridi kisa tu umeme umekatika?
Jitunzie umeme wa ziada kwa kufunga solar panel nyumbani kwako au katika nyumba yako ya wageni wasioge maji ya baridi na jua lingalipo.

Dondosha methali yako kwenye comment tuone Genz wabunifu

28/04/2026

Je una shamba na unahitaji mashine ya kusukuma maji na kuwagilia kwa uhakika?
achana Na mafuta , Tumia solar water pump ni imara na nafuu kwa matumizi ya shamba lako.
Ungepende kufahamu zaidi? Tupigigie kwa simu 0755203073 au tembelea ofisi zetu zilizopo mnara wa mwenge Arusha

26/04/2026

Tunakutakia kheri ya muungano wa Tanzania , na Tunaendelea kukuhamasisha kuendelea kuunganishwa na umeme usiokatika nyumbani kwako.
Kwa mahitaji ya umeme wa solar na Matengenezo ya umeme wa solar na mifumo karibu hubafrika

01/04/2026

Karibu mwezi April, karibu Hub afrika
Bado tunaendelea kutoa huduma iliyo bora ya kufunga mifumo ya umeme wa solar nyumbani , ofisni pamoja na katika miradi mbalimbali k**a vile ya umwagiliaji mashambani.
Uzoefu wetu katika huduma kwa zaidi ya miaka 10 unatupa ujasiri wa kukwambia unaweza kutuamini kwa mfumowowote unaohitaji.

Hub afrika Suluhisho Bora wakati wote

Want your business to be the top-listed Contractor in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Pangani Arusha
Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00