Geofrey Media Blog

Geofrey  Media Blog

Share

HABARI | MICHEZO | BURUDANI | MAISHA | VIDEOS | MATANGAZO |
Waweza kushare na marafiki zako nao wapate habari hizi kila siku. KARIBU YAKO ZAIDI

09/07/2022

🎧Sikiliza kwa kugusa link
👇🏿👇🏿👇🏿
https://audiomack.com/hadithizetu/song/vitu-vya-kuzingatia-kabla-ya-kununua-bidhaa-mtandaoni

_______
🖊K**a una maoni tuandikie hapo chini pia usisahau kufollow page yetu.

📱Pia tembelea akaunti zetu;

Twitter.com/hadithi_zetu1
Instagram.com/Hadithi_zetu1

Photos 29/08/2018

Mashabiki wa kundi la Muziki la BTS wadhihirisha mapenzi yao kwa kundi hilo.

Hii ni baada ya kuachia video ya wimbo wao uitwao “IDOL” na kuweka rekodi katika mtandao wa YouTube kwa kupata watazamaji wengi ndani saa 24 tu.

Ndani ya muda huo video ya wimbo wa IDOL ilikuwa na Viewers zaidi Milioni 45 ndani ya siku moja na kuvunja rekodi ya Taylor Swift aliyoiweka kwa Viewers Milioni 43.2 kwenye video ya wimbo wa “Look What You Made Me Do” Katika mtandao wa YouTube.

Aidha kabla ya “IDOL,” BTS waliwahi kuvuna watazamaji milioni 35.9 ndani ya saa 24 katika video ya wimbo wao ya “Fake Love” mwezi May.

Hii inadhihirisha namna ambavyo mashabiki wa kundi hili walivyo active katika kusupport kazi za kundi hili.

Pengine, baadae wanaweza kufikisha views Bilioni moja kwenye hii ya “IDOL” jambo ambalo wafuatiliaji wa rekodi hizi wanasema siyo rahisi.

Rekodi zinaonesha video ambazo zilikuwa na watazamaji wengi katika mtandao huu wa YouTube ni ya , na ya wimbo maarufu wa “Despacito,” ambao umegonga watazamaji bilioni 5.46, kupitia video ya wimbo wa “Shape Of You” na akishirikiana na video ya wimbo “See You Again” ambao umegonga viewers Bilionin 3.73.

Wimbo huu ulikuwa ni soundtrack ya filamu ya Fast and Furious 7.

Mashabiki wa hapa Bongo vipi?

Photos 28/08/2018

K**a utakumbuka vizuri Shawn Michaels Hickenbotton a.k.a HBK k**a anavyojiita, alistaafu kwenye mchezo wa mieleka "Wrestling" March 28 mwaka 2010 baada ya kupoteza pambano lake kwa The Undertaker, sasa ana rejea wiki ijayo kwenye .....Came Back yake itakuwaje?

DON'T MISS

Want your business to be the top-listed Media Company in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Sakina
Arusha
23000

Opening Hours

Monday 05:00 - 00:00
Tuesday 09:00 - 00:00
Wednesday 09:00 - 00:00
Thursday 09:00 - 00:00
Friday 09:00 - 00:00
Saturday 09:00 - 00:00
Sunday 09:00 - 00:00