Lapaker
this page will deal with advertising the products produced and supplied by lapaker Investment. WELCOME AND VISIT THIS PAGE
Tumeendelea kuboresha mitambo yetu ya bioges. Njoo tukujengee Mtambo bora kuondoa matumizi ya kuni.Tucheki 0756-338064
16/02/2023
Biogesi ni Teknolojia ya kuchakata nishati iliyopo ndani ya kinyesi Cha wanyama (biomass) na kupatikana kwa gesi inayowaka (Biogesi) na kutumika K**a nishati ya kupikia, nishati ya kuendesha injini (mitambo), kuwasha taa na kufua umeme.
Tunahamasisha Taasisi, mashirika ya Serikali na binafsi, vikundi na watu binafsi wanaofuga au kuwa na idadi kubwa ya watu eneo moja kwa muda mrefu kujenga mtambo wa Biogesi kwa lengo la kupunguza matumizi ya Kuni, umeme na mafuta (diesel na petrol) ambavyo vinachangia kwa asilimia kubwa kuharibu mazingira na matokeo yake kukumbana na mabadiliko ya tabia nchi.
Kwa mahitaji ya kujengewa mtambo wa kulingana na idadi ya mifugo/watu unakaribishwa LAPAKER ENGINEERING WORKS ili kupata huduma hiyo pamoja na mashine mbalimbali za kuchakata mazao, umeme wa majumbani na viwandani na kazi za ujenzi (civil works). Tuna wataalam na wahandisi bingwa katika kazi hizo.
Wasiliana nasi kwa namba
0756-338064 na
0625-732274
21/03/2021
Kwa mahitaji ya vyumba vya kupanga double self single self single kawaida na double kawaida. Nicheki 0756338064
17/05/2019
Tunatengeneza seat cover za magari aina zote, pikipiki, bajaj pia tuanatengeneza covers za roof na side covers. Ikiwa sofa yako imechakaa kitambaa tunabadiklisha kwa bei nafuu sana.
Tupo Njiro Perfect Choice Supermarket opposite na General tyre.
Tucheki kwa 0625732274 au 0756338064.
Kwa wakazi was Nkoaranga pata gesi kwa bei nafuu usafiri had I nyumbani. 7Kg 22,000 na 15 Kg 52,000 plus usafiri kwa wakazi wa Nkoaranga na maeneo jirani. Mahali no TST Kwa Mengi. Karibuni sana.
Kwa mahitaji ya Unga was Lishe bora kutoka Dorgo Agri wkazi wa Arusha. Kwa Mahitaji ya Gesi aina zote kwa Wakazi was NkoarangaMulala, Urisho, Songoro na Sura unapelekewa had I mlangoni. Tupo Nkoaranga madukani
Mob. 0625-732274
05/08/2018
House for rent at 88 ground Arusha. Price negotiatable. Call +255625732274
Mchele safi magugu kwa wakazi wa Arusha bei 2000/kg. Weka order. Tunapatikana Usa rver Arusha. 0652732274 na 07563338064 cheki sisi hapo.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Arusha
255
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 19:30 |
| Tuesday | 07:00 - 19:30 |
| Wednesday | 07:00 - 19:30 |
| Thursday | 07:00 - 19:30 |
| Friday | 07:00 - 19:30 |
| Saturday | 07:00 - 19:30 |