Mr. Peace Foundation
Ukarimu Daly is the foundation which devoted its self in teaching and sharing love to every one who is need of help
14/03/2026
19/03/2023
Tarehe 18 mwezi watatu 2023 Ukarimu life foundation iliweza kutembelea kituo cha watoto yatima kilichopo kisambare Leganga, Arusha kiitwacho Mosses Confort Home Foundation chenye watoto 65. Tuliweza kupeleka idadi ya mablangeti arobaini(40) na nguo kadhaa. Kiukweli hawa ndugu zetu wa mosses confort wanahitaji msaada wenu kwa namna yoyote ile maana wanavyoo ambavyo havijamalizika kujengwa, mabweni ya wavulana, madarasa ya watoto wadogo ya kuanza kujengewa msingi mzuri kabla ya kwenda shule nk. Sasa nawaasa na nawaomba ndugu zangu kwa yeyote atakae guswa na kujisikia kwenda kutembelea kituo hicho au kutoa chochote kwao k**a pesa, vyakula, nguo, au kufadhili watoto hao mashuleni atakua amewasaidia sana chochote ulichonacho watapokea. Nitaweka namba zao za simu ili atakae guswa na kutaka kwenda kutembelea kituo hicho awasiliane na mlezi +255 753 357 994 Tujitahidi kutenda ukarimu kwa watu tunao wajua au tusio wajua kwani baraka zote huwa zinahesabika na huwa fadhila inarudishwa mara dufu kwa wanaosaidia wenye uhitaji, tujiulize k**a sio mimi na wewe nani atawasaidia tujiekee utaratibu wakusaidia hata wazee barabarani, viwete, ndugu wasiojiweza pia katika familia zetu kila mtu akisaidia mtu natumaini tutafika mbali
22/02/2023
its the beginning of the lent season. Find peace, love and harmony in your societies help the needy, cover the cloth less, feed the starving, give water to the thirsty its a time to do good deeds repent your sins and fast pray for all you need and you will see Jesus as he resurrects. All the best in this lent season🙏❤️
yours secretary of ukarimu life foundation Cecilia Orera Noel
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Mr. Peace. As@gmail. Com
Arusha
KALOLENISECONDARYSCHOOL,ARUSHA