MeCoB BANK
Meru community Bank
We offer a complete line of financial products while providing superior customer service to all of our clients in the community.
BODI YA WAKURUGENZI YA BENKI YA WANANCHI MERU INAPENDA KUKUTANGAZIA KUWA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WOTE UTAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 16/12/2017 KATIKA UKUMBI WA FIKIRIA KWANZA USA RIVER KUANZIA SAA TATU KAMILI ASUBUHI.TUNAKUHIMIZA KUHUDHURIA ILI KWA PAMOJA TUIJENGE BENKI YETU.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA NAMBA ZIFUATAZO: +255784634449
Salamu kutoka MeCoB Bank
Malizia Jumapili yako kwa kuweka malengo ya kuwekeza na Benki ya jamii (MeCoB Bank).
Jumapili Njema .
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Usa River
Arusha
P.OBOX365,USARIVER