UNITE FOOD Program_tz
A women-owned and operated social enterprise providing quality staple food items to Tanzanians
18/02/2025
Maisha ya Bachelor Yanafanywa Rahisi! ππ½
Kwa kijana anayejitegemea, unga wa sembe wa 5Kg ni chaguo sahihi! β
Rahisi kubeba, rahisi kuhifadhi, na rahisi kupika β kwa ugali mtamu, uji laini, na chakula kingine bora. Usihangaike na manunuzi kila siku, pata unga wako leo na ufurahie ladha ya nyumbani! π½οΈ
Karibu
Wauzaji bora wa natakiy that zoowa a
Sembe, Dona, Unga wa Muhogo, Mchele
πKunduchi, Dar es salaam.
Call π0652 766 559 βοΈ0758 346 797
06/01/2025
πβ¨ Jikoni kwako, Afya Yako! β¨π
Gundua tofauti ya kupika na unga wa muhongo! Bila kemikali unga wetu unakupa ladha tamu na faida bora za kiafya.
Kwa mikate, maandazi, ugali na chakula kingine cha kila siku, chagua unga wa muhugo wa UNITE na ulete mabadiliko kwenye familia yako. π₯π
π Nunua sasa na ufurahie punguzo maalum! ππ 0652 766 559 βοΈ0758 346 797
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the restaurant
Telephone
Website
Address
P. O BOX 6228
Dar Es Salaam
00000
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 20:00 |
| Tuesday | 07:00 - 20:00 |
| Wednesday | 07:00 - 20:00 |
| Thursday | 07:00 - 20:00 |
| Friday | 07:00 - 08:00 |
| Saturday | 08:00 - 18:30 |
| Sunday | 08:00 - 18:00 |