Cheza Foundation
We support disabled community to reach greater heights in sports and fitness at National and International level #ImDifferentlyAble
🟢 UZINDUZI WA JEZI MPYA ZA CHEZA FOUNDATION! ⚽✨
Muda umewadia! Tunafurahi kuwakaribisha katika hafla rasmi ya kuzindua jezi zetu mpya, tukio litakalofanyika hapa nyumbani, Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko.
Itakuwa siku ya kipekee iliyojaa furaha, vicheko, na burudani kwa watoto wetu mashujaa.
📅 Tarehe: Jumamosi, 30 Mei 2026
⏰ Muda: Saa 6 Mchana mpaka Jioni (Sunset)
📍 Mahali: Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko
🎈Shughuli: Kula 🍽️ | Kucheza ⚽ | Kudance 🕺
Njoo tusherehekee pamoja na kuunga mkono vipaji vya watoto wetu wenye ulemavu. Tukutane uwanjani! 🙌💚
📞 Mawasiliano: 0689621429
📧 Barua Pepe: [email protected]
UzinduziWaJezi UhuruMchanganyiko
15/05/2026
The Secret to Attracting International Volunteers! 🌍🤝
Listen, k**a unafikiri kuvutia volunteers wa kimataifa ni lazima uwe na website kubwa au expensive ads, you’re wrong. It’s not what you think! ❌
Tuchukulie mfano wa volunteers wetu kutoka Norway 🇳🇴. They didn’t come because of a fancy brochure. Walikuja kwa sababu waliona real impact tunayofanya kwa watoto wenye ulemavu kila siku hapa Cheza Foundation.
Wazungu wanapenda to be part of a story that is already moving. Kumbuka:
✨ Volunteers don’t look for comfort; they look for a mission.
✨ Ukionyesha ‘the process’, the right people will find you.
✨ Stop selling the words, start sharing the process.
Wewe unatumia mbinu gani ku-attract volunteers kwenye harakati zako? Drop a comment below! 👇
See you in Part 2, let’s build Cheza Foundation together! 🇹🇿✨
PONGEZI KWA KAZI ILIYOTUKUKA: WILLIAM NOYA 🥇🇹🇿
Tunafuraha kumtangaza William Noya k**a mshindi wa tuzo ya mwezi huu ndani ya familia ya Cheza Foundation.
Katika taasisi isiyoendeshwa kwa faida, injini ya maendeleo ni watu wenye moyo wa kujitolea k**a William. Kujitolea kwake kumesaidia kufanikisha malengo mengi, ikiwemo ushiriki wa kihistoria wa Juma Omar katika pale shule ya msingi oysterbay.
Tunakupongeza William kwa kuwa nguzo imara Uhuru Mchanganyiko. Pamoja, tunabadilisha maisha kupitia michezo! ⚽️✨
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Website
Address
Kinondoni
Dar Es Salaam
14110
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |
| Saturday | 08:30 - 12:00 |