AFYA FIT

AFYA FIT

Share

Afya yako kwa virutubisho LISHE hivi ni vya uhakika kabisa ( vyenye mchanganyiko wa matunda na mbog

12/09/2023

UFAHAMU UGONJWA WA TEZI DUME NA MADHARA YAKE.
Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo k**a viungo vingine mwilini.
Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.
Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili.
Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mno. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.
Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.
Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume.
Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50.
Takwimu kutoka kwenye shirika la CHRP (Centre for Human Right Promotion), zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume katika maisha yake ana 16% za kugundulika na saratani ya Tezi Dume,
mtu 1 kati ya watu 6 analo hili tatizo; 3% (1 kati 33) wanakufa kwasababu ya Saratani ya Tezi Dume.
Saratani hii inaua mwanaume mmoja kila baada ya dakika 13
II. VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi.
Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jamii kuhusu afya zao.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume
- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini
- Uwepo wa sumu nyingi mwilini
- Kutokufanya mazoezi
- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara
- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi
- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)
- Msongo wa mawazo ( Stress )
- Magonjwa ya zinaa
- Umri mkubwa
- Upasuwaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja,

ZIFUATAZO NI DALILI ZA TEZI DUME.
- Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
- Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
- Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa.

Inawezekana ushaanza kupata dalili hizo, lakini usiwe na wasiwasi kwa sababu ipo njia rahisi na salama zaidi kutatua hali hiyo bila upasuaaji kabisa.

Jifunze zaidi hapa namna ya kutatua uvimbe wa tezi dume bila upasuaji kwa kugusa maandishi haya ya bluu au sehemu iliyoandikwa 'Learn More'

https://bit.ly/3HN9OIJ

06/04/2023

MWANAUME SOMA HAPA ITAKUSAIDIA KUOKOA MAISHA YAKO NA NDOA YAKO PAMOJA NA KUPUNGUZA GHARAMA!

ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,

Kwanza unatakiwa kufaham UPUNGUFU wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa inamaanisha kuna dosari au udhaifu katika utendaji wa viungo vyako ndani ya mwili,

NGUVU ZA KIUME NI NINI?
ni neno la jumla lenye mjumuisho wa mambo mengi ambayo yamegawanyika katika sehem MBALI MBALI
1. Hamu ya tendo la ndoa
2. Kusimama kwa uume barabbara k**a kipande cha mti au msumari)
3. Stamina kiasi cha kukupelekea kufurahia tendo
4. Pumzi
5. Uwezo wa kurudia tendo
6. Wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda
*Kwa lugha nyepesi Hii ndio maana ya neno nguvu za kiume*

Sasa basi tumeona hapo juu kuwa k**a kuna udhaifu au dosari katika utendaji wa BAADHI ya viungo ndani ya mwili wako basi sio mbaya tukajua BAADHI ya viungo vinavyohusika kuwasha umeme kwa mwanaume / namaanisha nguvu za kiume na viungo hivi hufanya kazi zingine pia katika mwili

Kuna viungo zaidi ya 50 ila kwa uchache ni ivi vifuatavyo
1. Ubongo
2. Moyo
3. Mishipa
4.mirija iliyo ndani ya uume
5. Neva maalum za parasympathetic
6. Uti wa mgongo
7. Kiuno / nyonga
8. Misuli
9. Tezi ya pituitari
10. Utando maalum wa uumeni.

*HIVYO BASI TUNAPOONGELEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUNAMAANISHA KUWA NDANI YA MWILI WAKO KUNA VITU HAVIFANYI KAZI VIZURI LABDA NI INI , FIGO , TEZI DUME LIMETANUKA , AU HOMONI HAZIJA WIANA HAPA SASA NDIPO HUTOKEA NENO NA KITENDO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

JIJUE JITAMBUE HIZI NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
1. kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Uume kusimama kwa ulegevu, kusinyaa na kurudi ndani AU KUTOWEZA KUSIMAMISHA KABISA
3. Kuwahi kufika kileleni
4. Kusimamisha ikiwa legelege
5. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada
6. Kukosa pumzi hivyo hupelekea kusimamisha zoezi Mara kwa Mara
7. Kukosa uchangamfu wa mwili katika utendaji .
8. Kuchoka sana baada ya tendo na hata kuskia kichefchef au kuskia usingizi MZITO SANA MARA TU UMALIZAPO ..
9. KUSHINDWA KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA MOJA

KWA LUGHA NYEPESI NGUVU ZA KIUME NI K**A SERIKALI AMBAYO INA WIZARA MBALI MBALI ILI SERIKALI IFIKE KULETA MATUNDA MAZURI KWA JAMII HIZI WIZARA LAZMA ZIWE THABIT KATIKA MASLAHI YA JAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA NA ENDAPO WIZARA MOJA ITAKUWA INA HITILAFU BASI LENGO HUSIKA KUTOKA KWA SERIKALI KUJA KWA JAMII HALITATOKEA ASILANI MF. WIZARA YA NISHATI NA MADINI IGOME , WIZARA AFYA IGOME , UNAFIKIRIA SERIKALI HII ITAFIKIA MALENGO ??? BASI NDIVYO HIVYO NDANI YA MWILI WAKO .. TEZI IKIKOSA AFYA , MOYO , UBONGO NK NK LAZIMA EFFECT ITATOKEA NA MOJA YA EFFECTS NI UPUNGUFU WA NGUVU ..

Au tuseme kiwanda kuna wafanya kazi , kuna maji , umeme , madawa ivi ikotokea WAFANYAKAZI TU WAKAGOMA je hiki kiwanda kitazalisha bidhaa itayofika Sokoni?

MSICHOKIJUA WANAUME WENGI kupungukiwa nguvu za kiume ni kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili hii ni kengele ya tahadhari kipo kitu hakifanyi kazi vizuri ..

Sasa KOSA kubwa wanalolifanya wanaume wengi TANZANIA NA NJE ni kuanza kutafuta suluhisho la dawa za nguvu za kiume na kuzibugia bila kuangalia chanzo, inatakiwa kutibiwa chanzo cha tatizo sio matokeo ya tatizo ... na hamshangai dawa hiyo inaweza kumtibu mmoja na mwengine akasema haifanyi kazi ?? Unajua Kwanini... vyanzo vya matatizo yao ni tofauti

Mfano ... Mwanaume mwenye sukari , mwenye presha , mwenye kansa ya tezi , mwenye stress , mwenye unene uliopitiliza, watu Hawa lazma tiba zao ziwe tofauti sio dawa za nguvu za kiume moja kwa moja lazma kuanza na mzizi wa tatizo k**a ni mnene tupunguze mwili , k**a anasukari tutibie sukari kwanza

BAADHI YA SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (MUENDELEZO)

1. KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA
2. KUPATA CHOO KIGUMU AU KUTOPATA KABISA, UNATUMIA NGUVU NYINGI KWENYE KUSUKUMA
3. UZITO ULIOPITILIZA
4. KITAMBI
5. VYAKULA VYA BANDIA VILIVYOWEKWA HOMONI ZA K**E
6. VYAKULA VYENYE MAFUTA SANA
7. ULAJI WA NYAMA KWA SANA
9. ULAJI WA FAST FOODS NA VINYWAJI VYA VIWANDANI IKIWEPO POMBE
10. ULAJI WA MIRUNGI/ MIRAA
11. KUTOSHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO
12. KUTOKULA BALANCED DIET
13. KISUKARI
14. TEZI DUME
15. PRESHA na mengine mengi

**********************************************
JE WEWE NI MWANAUME NA YALIYOONGELEWA HAPO YAMEKUGUSA NA UNGEPENDA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME? TUNA HABARI NZURI KWAKO TUNA SPECIAL PACKAGE YA BEDROOM PACK AMBAYO ITAKUSAIDIA KURUDISHA HESHIMA YAKO, PIA UTAELEKEZWA VYAKULA VYA KUKUIMARISHA ZAIDI NA AINA ZA MAZOEZI UNAYOTAKIWA KUFANYA KWA MUDA WA MWEZI MMOJA TU UTAKUWA UMEPONA.

Call me/whtsap
📲📞0717398068
0624813120
🌱

13/02/2023

Umeshawahi kufanya tendo la ndoa ukafika kileleni haraka🙊 kwa safari ya kwanza, ukapumzika kidogo ulivyotaka kwenda safari ya pili dhakari ikasimama lakini ni kwa hali ya kulegea legea hivi?
K**a yalikutokea hayo basi dhakari yako inawezekana ina tatizo la Vain Leak😢

Vain Leak ni hali ya mishipa iliyopo kwenye dhakari kulegea hivyo kushindwa kushikilia (hold) damu kwa muda mrefu ili dhakari isimame.

Ndio maana unakuta dhakari🍆 inasimama vizuri kwa kasi kubwa lakini ndani sekunde kadhaa inakua lege lege, haisinyai moja kwa moja lakini inasimama kwa ulegevu, maana yake mzunguko wa damu upo hafifu sana kwenye maeneo ya dhakari yako.

Kwa mwanaume aliyejichua anaumiza sana mishipa ya dhakari yake hasa pale anafika kutoa mbegu, kwaio baada ya hapo kinachofuata ni vain leakage🥺

Vain leakage haisababishwi na kujichua tu pekeake, pia kuna magonjwa k**a pressure, na coronary artery diseases yanaweza kusababisha tatizo hili 🫀

Nimeakuandalia package ya virutubisho muhimu ambayo itakusaidia kuimarisha mishipa ya dhakari na kuboresha mzunguko wa damu ili uweze kuwa na nguvu na uwezo wa kuendelea kushiriki tendo la ndoa😊💪🏽

Tuwasliane

Kwa ushauri na suluhisho
Call me/whtsap
☎📞 +255717398068
+255624813120
Consultant_Idriss ☘🌱
# # # ❤️

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Makumbusho
Dar Es Salaam