Mac TEMBA
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mac TEMBA, Automation service, Shekilango Rd - Sinza Mori, Dar es Salaam.
Je, gari yako imepata ajali? Na umelipia bima? Usiwe na wasiwasi! kwani Mac Auto Express Garage, iliyosajiliwa na TIRA, ATI na ARM TANZANIA, tupo hapa kukusaidia.
Unapokua umelipia bima, unahitaji garage ya uhakika kuhakikisha gari yako inarudi katika ubora wake ndani ya muda mfupi.
Na sisi ndio wakali body works, panel beating na matengenezo yote ya magari.
Tutavuta gari lako lililoharibika hadi kwenye gereji yetu na kukupa taratibu zote za kufuata ili kutengeneza gari lako kwa ufanisi na haraka.
Kwa wateja wenye bima kubwa huduma ya breakdown ni bure.
Kumbuka, tunafanya kazi na kampuni zote za bima, ukifika kwetu, umefika nyumbani.
Tupo .
📍Sinza Mori karibu na GBP petrol station
📍Sinza B karibu na Wanyama Hotel
📍Sinza - Mpakani B karibu na Small Planet Bar
📍Tabata Muslim karibu na Oil com petrol station.
Fuatilia kazi zetu kwenye ukurasa wa Instagram kwa account ya na
Tupigie simu kwa namba Namba ni 0715-000-890 /0752 300300 au 0713-442-255 pamoja na 0788-400-700 sasa!
*Mac Auto Express Garage - Kwa matengenezo makini na ya haraka!*
https://www.tira.go.tz/licensed-entities/automobile-repairers-maintainers-arm/1531
Karibu sana kwa huduma zote za magari! Tuko wazi masaa 24, siku 7 za wiki 🚘
* Body works & Painting
* Oil change
* Mechanical repairs
* Auto diagnosis
* Ac Repairs & Services
Visit link:https://youtu.be/uUNN-sHivCA
☑️ Sinza Mori near GBP
☑️ Sinza B near Wanyama Hotel
☑️ Sinza near Small Planet Bar
☑️ Tabata Muslim Opp Oilcom Petrol station
TUPIGIE SIMU:
0715000890 | 0674120000 | 0622120111 | 0752300300 | 0715120222 | 0713442255
YOUTUBE/FB: Mac Auto Express Garage🚘🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Shekilango Rd - Sinza Mori
Dar Es Salaam