Smart Receipts

Smart Receipts

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Smart Receipts, Software Company, Dar es Salaam.

11/04/2025

Smartika kidigitali na RBP 58B ikiwa na mfumo wetu wa kutolea risiti za TRA kwa simu, kishikwambi au kompyuta.

Printer hii inaweza kutumika kuchapa miamala ya kibenk CRDB,NMB,EQUITY, AMANA Bank Wakala n.k.

Zinakaa na chaji kwa muda mrefu.

Bei zetu ni nafuu Ofa punguzo la 10%

Mawasiliano(Call/SMS/Whatsapp) +255 679 406 079

18/09/2023

Printer KSP58W ipo tayari kwenye maduka yetu na ya mawakala. Imejaribiwa na kufanya kazi vizuri kwenye mfumo wetu wa kutolea risiti za TRA na kwenye app yetu ya V-EFD na Mawakala wa benki. Inachapa miamala yote ya bank.Wahi zipo chache mno.Uliza zaidi kuhusu hii hapa Call&WhatsApp +255 679 406 079

29/05/2023

Printer AKL -BP26 ipo tayari kwenye maduka yetu na ya mawakala. Imejaribiwa na kufanya kazi vizuri kwenye app yetu ya EFD na Mawakala wa benki. Inaweza kuchapa lebo zenye gudi kwa ajiri ya bidhaa zako.Wahi zipo chache mno.Uliza zaidi kuhusu hii hapa +255 679 406 079

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 12:00