Shule Direct Kids

Shule Direct Kids

Share

Shule Direct Kids is a mobile App for Primary School to improve the accessibility of qualified learning content for primary school pupils in Tanzania.

01/06/2022

Tunakutakia heri na baraka katika huu mwezi mpya. Kumbuka kupakua app ya umpe mtoto afanye maswali ya marudio na majaribio, wakati huu ambapo watoto wetu wanajiandaa na mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza wa mwaka wa masomo. Mpe fursa mtoto ajifunze kidijitali.

03/05/2022

Tunakutakia wewe na familia yako kheri, baraka, furaha, amani na upendo wakati huu wa sikukuu ya Eid.

Photos from Shule Direct Kids's post 29/04/2022

Tukiwa tunaendelea kuadhimisha Juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora.
Leo tulikua na Wanafunzi wa shule ya Msingi tukiwa tunajifunza kwa Njia Ya kidijitali kupitia jukwaa letu la .

Photos from Shule Direct Kids's post 26/04/2022

Siku ya pili ya ilianza kwa kutembelea Shule Ya Msingi Igunga, iliyopo Wilayani Igunga, Tabora.

Timu Ya pamoja na wakishirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu kwenye Kikao kilichohudhuriwa na Wanafunzi, walimu na wazazi.

Aidha ziara hii iliendelea hadi Shule ya sekondari ya Nanga nakufanya Kikao na walimu, wazazi, Wanafunzi, viongozi wa Dini pamoja na Mila.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


#539 Old Bagamoyo Road, Msasani
Dar Es Salaam
14111