AFYA CHECK
penda AFYA yako
08/08/2024
USIJIKATIE TAMAA HATA WEWE UTAITWA MAMA
NAKUJALI
0658008524
08/08/2024
JINSI YA KUONGEZA DAMU KWA KUTUMIA ROZELA HASA KWA WAJAWAZITO WANAOPUNGUKIWA DAMU AU MTU YEYOTE ANAYEPUNGUKIWA DAMU.
Nenda sokoni nunua ROZELA fungu. Katakata vipande vidogo vidogo weka maji lita mbili chemsha mpaka iwe na rangi nyekundu.
Chuja weka kwenye chupa kila siku kunywa glass moja asubuhi na glass moja usiku.
Tumia kila siku mpaka upate matokeo unayoyahitaji usiweke sukari.ββ
05/08/2024
VITU VITANO (5) MUHIMU VYA KUKUMBUSHANA KUHUSU AFYA ZETU.π©Ίπππ©Έ
1. Hakikisha unajua namna ya kuhesabu siku za hatari. Wengi hawabebi ujauzito sababu hawajui namna ya kuhesabu siku za hatari. Na wengine wanabeba ujauzito bila kutarajia sababu hawajui namna ya kuhesabu siku za hatari.
2. Hakikisha unajua namna ya kutofautisha kati ya ute wa uzazi na uchafu mwingine usiotakiwa kutoka ukeni.
3. Siyo kila dawa inafaa kutibu tatizo lako. Hakikisha unapata ushauri sahihi, sehemu sahihi.
4. Jitahidi kujali afya yako kabla tatizo halijawa kubwa maana usipofanya hivo mapema utatumia gharama kubwa ya mda na pesa.
5. Kwa imani yoyote uliyonayo mshirikishe Mungu katika afya yako utafanikiwa.ππ
Ipi umeipenda zaidi kati ya hizi?.
02/08/2024
Utafiti unasema karafuu husaidia usagaji mzuri wa chakula tumboni na ni nzuri kwa matibabu ya maumivu ya tumbo, tumbo kujaa gesi na kiungulia. Hivyo, ni miongoni mwa kiungo muhimu katika vyakula kutokana na vinasaba vya aina ya eugnol vilivyomo ndani yake.
FAIDA KUU ZA KUTUMIA KARAFUU KILA SIKU KATIKA AFYA YA UZAZI WA MWANAMKE.
1. Karafuu hupevusha mayai hivo kurahisisha zoezi la kubeba ujauzito.
2. Karafuu inazibua mirija.
3. Karafuu inazuia na kutibu kansa ya kizazi.
4. Karafuu inayeyusha uvimbe wowote kwenye kizazi (Fibroids & Ovarian Cyst).
5. Karafuu husawazisha homoni mfano huweza kutumika kurudisha period iliyokata mda mrefu au wanaopata period kidogo/matone inatakiwa watumie karafuu kwa wingi.
6. Karafuu hupevusha mayai hivo kukusaidia upate ute wa uzazi.
MAHITAJIππ
Mchaichai + Tangawizi moja + mdalasini vijiko viwili + karafuu kijiko kimoja= Chai ya viungo.
Chemsha vyote kwa pamoja vikichemka chuja kwenye kikombe kimoja weka asali vijiko viwili.
Kunywa chai hii asubuhi kikombe kimoja na jioni kikombe kimoja kwa siku 30 mfululizo.
NYONGEZA:Kwa wenye vidonda vya tumbo chemsha k**a maelekezo yanavyoelekeza lakini usiweke tangawizi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 06:30 - 12:30 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |