Spot

Spot

Share

Looking for safe & fast transportation with affordable fees? Introducing Spot
Spot is an easy to use app for ordering your next ride

How does it work?

Home 12/11/2021

Usihofu kuhusu wikiendi utatokaje au utarudije nyumbani. SPOT Ride ipo kwaajili yako. Itisha usafiri wako na uenjoy maisha na marafiki. Mchongo ndio huu sasa๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Home Get started with our user-friendly app in a flash. Easy to use and operate, with simple prompts and intuitive navigation, Spot is the perfect app for everyone from teens to seniors. You can book a ride using the Mobile App, through the website, or simply by calling us. This is how our revolutionary....

11/11/2021

Habari njema sio ya kukaa nayo๐Ÿ˜, ni ya kushea na wana na washkaji. Waambie wana kuhusu mchongo mpya wa SPOT Ride. Ukiweza kushea na mtu kutumia App yetu basi unajitengenezea pesa๐Ÿ‘Œ. Tengeneza pesa kwa kushea na wana sasa. Mchongo ndio huu.

08/11/2021

Usihofu kuhusu dereva kupotea, kupitia app yetu unaweza ona muelekeo wa dereva wako na kumuelekeza pale inapobidi.

Furahia teknolijia ya kisasa katika kukamilisha safari zako.

02/11/2021

Ukiwa na sisi mambo ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Chagua usafiri uupendao wewe. Kwetu ni raha tu.

01/11/2021

Je wajua? Sisi ni zaidi ya app nyingine. Tengeneza pesa kila unapo shea msimbo na rafiki zako. Shea kadri uwezavyo na utengeneze pesa zaidi na zaidi. Kazi ni kwako๐Ÿ˜Š.

Want your business to be the top-listed Transport Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Kurasini
Dar Es Salaam