Pango
Tired of madalali draining your pockets? So are we. Pango™ puts the power back in your hands—no middlemen, no hidden fees. Join the movement.
11/10/2024
Hebu fikiria hili... Unaweza kuhama bila hofu na bado ukapokea ASANTE kutoka kwa mpangaji mpya!
Pango App haikukupi tu nafasi ya kupata nyumba ya kupanga bila madalali, bali pia inakuwezesha kuchapisha nyumba au chumba chako kitakachobaki wazi wakati unapohama. Na kizuri zaidi ni kwamba, ukimpata mpangaji mpya kupitia chapisho lako, unapokea 30% ya kodi k**a ASANTE!
Hii inamaanisha nini? Inamaanisha kwamba badala ya kupoteza pesa kwenye 'hela za kiatu' au ada za dalali, unazitumia mwenyewe, unasaidia kuleta mabadiliko, na unampunguzia gharama mpangaji ajaye.
Ni wakati wa sisi wapangaji kuchukua hatua na kuwa sehemu ya suluhisho! Ni hatua moja tu ya kubadili jinsi tunavyopanga – kwa uhuru, ufanisi, na kuokoa hela! 🕊️💼
Pakua Pango App sasa na ugeuze mazoea ya kuhama kuwa fursa ya kipekee!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
DERM Plaza, 11th Floor
Dar Es Salaam
14107