Alpha Infinity Ltd
Dealing With all kinds of Land Surveying, GIS and Real estate. We are also Providing Content on Different issues concern land.
08/11/2024
15/02/2024
Eneo lako limepimwa ila lina changamoto hizi;?
1. Eneo kuvamiwa
2. Jirani kuhamisha mipaka yako
3. Kupotea kwa alama (Beacon) za eneo
Wasiliana nasi tukusaidie kutatua changamoto hizo
# 0784514077 / 0766835656
10/09/2022
TARATIBU [3] MUHIMU ZA KUFUATA KUPATA HATIMILIKI RASMI
1. Uwepo wa ramani *iliyosajiliwa* inayoonesha matumizi ya eneo [ Mipango miji ]
2. Uwepo wa ramani *iliyosajiliwa* inayoonesha vipimo vya eneo na alama(beacons/IPC) [ Ramani ya upimaji ]
3. Uwepo mkataba wa mauziano wa eneo husika na ulioshuhudiwa na mwanasheria.
KUFAHAMU ZAIDI TARATIBU NYINGINE WASILIANA NASI;
#0766835656
#0784514077
15/03/2022
TOPOGRAPHICAL SURVEY
19/07/2021
Eneo ni Hot Cake, viwanja vinaelekea kuishia fursa ya kumiliki Kipande cha Ardhi kwa Tsh 8,000/= kwa square metre moja Misugusugu Shule Kibaha ambapo ni Eneo mkakati kwa pwani sasa hivi na baadae, Viwanja vipo mita 600 kutoka barabara ya morogoro road.......!!!!
Maji na Umeme vipo hapo hapo site......
Fika Survey House ofisi namba 11 floor ya kwanza.....kwa Msaada zaidi na maelekezo. Asante sana....
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Survey, University Road
Dar Es Salaam
62999