Simba SC Footbal
•Akaunti rasmi ya Simba SC Football kwa habari za michezo.
•Fans @simbasctanzania
•Kwa matangazo ya biashara tutafute WhatsApp 0712 125 518
01/07/2025
PERCY TAU KUJIUNGA NA SIMBA SC MSIMU UJAO
HERE WE GO🔴
Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania ipo hatua za mwisho za kuinasa Saini ya mshambuliaji wa Zamani wa Al Ahly anayekipiga kunako klabu ya Qatar SC Percy Muzi Tau Kwa mkataba wa miaka mitatu
Simba SC wamemwekea kitita cha Dola za kimarekani USD 769,231 ni sawa na sh Bilioni 2 za kitanzania ili kuinasa Saini yake
Endapo watafanikiwa kuinasa Saini yake hakika Mnyama anaenda kuwa imara msimu ujao na sioni Timu yoyote Tanzania inatakayoweza kumzuia Mnyama kunyakua Mataji yake aliyoyakosa Kwa misimu minne mfululizo.
Pia Simba wapo mbioni kuinasa Saini ya mlinzi wa kushoto wa Al Hilal ya Sudani Khadim Diaw ili kuimarisha eneo la ulinzi wa upande wa kushoto.
Endelea kufuatilia Simba SC Football Kwa habari za michezo na Burudani.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Msimbazi
Dar Es Salaam