Dr Ramo
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr Ramo, Public Figure, ilala, Dar es Salaam.
31/05/2026
Hadi sasa ni nini kinachofanya unaendelea kuwepo kwenye hayo Mahusiano licha yakuwa familia haikupendi?? Kuwa tumkweli mdogowangu
1. Watoto uliyozaa naye?
2. Mali mlizochuma wote?
3. Upendo wake kwako?
Wakati mwingine kinachohitajika si kujaribu njia nyingi zaidi, bali kupata mwongozo sahihi kutoka kwa watu wenye uzoefu katika afya ya uzazi.
Tumeandaa huduma na programu zinazolenga kusaidia wanawake na wanandoa katika safari yao ya kutafuta mtoto kwa uelewa, heshima na usiri.
Ikiwa ungependa kujua jinsi tunavyoweza kukusaidia katika safari yako, wasiliana nasi.
📞 +255 712 286 686
Kitaalamu, ugumba ni hali ya kuchelewa kupata ujauzito baada ya kipindi fulani cha kujaribu bila mafanikio. Mara nyingi hali hii husababishwa na changamoto zinazoweza kutambuliwa na kushughulikiwa, iwe kwa mwanamke, mwanaume au wote wawili.
Ndiyo maana mtu anapoambiwa ana ugumba, jambo muhimu si kukata tamaa, bali kutafuta chanzo cha tatizo. Chanzo kinapopatikana na kushughulikiwa kwa usahihi, wengi huweza kupata ujauzito na kutimiza ndoto ya kuwa wazazi.
Kabla ya maelezo haya, wewe ulikuwa unaelewaje maana ya ugumba?
19/05/2026
Unadhani Kwa nini familia nyingi humlaumu mwanamke haraka mtoto anapochelewa? 😔
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Ilala
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 18:30 |
| Tuesday | 09:00 - 18:30 |
| Wednesday | 09:00 - 18:30 |
| Thursday | 09:00 - 18:30 |
| Friday | 02:30 - 18:30 |
| Saturday | 09:00 - 18:30 |
| Sunday | 09:00 - 18:30 |