The Base

The Base

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Base, Restaurant, makumbusho, Dar es Salaam.

22/12/2020

Vibe la XMASS kutoka kwa Head of DJs hapa | Wa kuitwa
🔥 🔥 🔥

Save the date: 25th DEC / This Friday đź’Ą

21/12/2020

Watoto wa Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Ilala, Kariakoo na maeneo yooote ya jiji la Dar es Salaaam tukutane
Jumatano hii ya tarehe 23 Dec. kuanzia saa 3 usiku 🔥 kwenye ikisimamiwa na huku akipewa nguvu ya Burudani toka kwa KibaokataOg na  sonara wa maneno
_
Entrance Damegeđź’¸
10,000/= cash

_

09/12/2020

Wanasema mbona hampokei simu!!??? Tunawaambia “TUKO BUSY”... 🔥
Tuko busy tukihakikisha wateja wetu wanapata burudani waliokuwa wakiikosa kwa muda mrefu, yani tunabandika na kubandua đź’Ą
Guess what? 🤔 “Le Professor” huyu hapaaaaa, anakuja kuichachua Ijumaa hii hapa kwenye ya wana IFM

Ni kuanzia time ⏰ ya saa 3 usiku mpaka tubebane, kwa mtonyo wa 10,000/-
Hii haijirudii, kwahivyo usipange kuikosa 🔥

08/12/2020

BACK TO BACK 🔥
Likitajwa jina la haina hata haja ya kujieleza sana... Najua mnaelewa akili zake 🤯 Sasa, imagine Alhamis hii hata weekend haijakomaa anarudi tena kukiamsha hapa hapa mjengoni

Hii ni special edition kwa graduates... Tunaiita “UDSM GRADUATION After Party”

Want your establishment to be the top-listed Bar/pub in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Makumbusho
Dar Es Salaam