M Plus Insurance
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from M Plus Insurance, P. O. Box 80674, Dar es Salaam.
21/03/2026
22/08/2025
08/07/2025
Unatambua faida za bima uliyokua nayo sasa? K**a hutambui usijali fanya mambo 3 tu.
1. Chukua/Nakili namba hii 0684 962 601
2. Tuma Ujumbe WhatsApp/kawaida wenye namba ya chombo chako cha moto au aina ya bima uliyokua nayo tu.
3. Subiria simu yetu ndani ya dk 1 kupata elimu na muongozo juu ya faida ya bima uliyokua nayo.
Usikae mbali na ndio jicho lako la tatu katika ulinzi wa Mali zako.
01/05/2025
"Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Kwa kila jasho linalomwagika, kuna thamani kubwa inayostahili kulindwa. Tunawashukuru kwa kazi yenu ngumu na kuendelea kutuamini kulinda ndoto, mali na mafanikio yenu dhidi ya hatari. Tupo nanyi bega kwa bega—sio kwa bima tu, bali kwa kila hatua ya ujasiri."
Be wise, Be Safe, Be Insured
#0684962601
22/04/2025
Pata Bima yako ya ajali sasa iwe kwa vikundi au mtu mmoja mmoja. Linda maisha yako kwa ajali zisizotarajiwa.
PERSONAL ACCIDENT POLICY inajukumu hilo.
Tuone tukushauri
#2025
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
P. O. Box 80674
Dar Es Salaam
MPLUSINSURANCE,WAZOHILLRD-TEGETA
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 13:00 |