Strategis Insurance TZ

Strategis Insurance TZ

Share

TOTAL INSURANCE SOLUTIONS PROVIDER

HEAD OFFICE: 1ST FLOOF MASAKI IKON BUILDING. MASAKI AREA. SALES A

05/05/2026

Kuwa mama ni safari nzuri, lakini mara nyingi huambatana na mzigo wa kifikra ambao hauna likizo. Strategis Insurance tunaamini kuwa kila mama anastahili msaada, si shukrani pekee.

Jiunge nasi katika mfululizo wa warsha yetu ya Siku ya Mama 2026 ambapo mtaalamu wa afya ya akili, Elna Maro, atatupa mwongozo wa jinsi ya kupata uwiano na kushughulikia mzigo wa kifikra kwa ustawi bora.

Tarehe: 06 Mei 2026 (Jumatano)
Muda: Saa 5:00 Asubuhi (EAT)
Jukwaa: Microsoft Teams
Meeting ID: 375 750 698 100 064
Passcode: mg7j3S33

Wewe ni muhimu. Ustawi wako ni muhimu. Tuweke kipaumbele afya ya akili kwa ajili ya familia imara na yenye furaha.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Plot 1520, 1st Floor – Masaki Ikon Building, Bains Avenue
Dar Es Salaam
7893

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Friday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00