DuplexGraphics
best services that you will enjoyed
Tazama Mkongwe wa mchezo wa kupigana Mieleka Kutoka Nchini Indian, alivyo muwish Happy .
22/04/2022
Kikosi cha Klabu ya Tayari wameshafika Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika utakaochezwa siku ya Jumapili Aprili 24, 2022 dhidi ya wenyeji wao
18/04/2022
Staa wa Manchester United amepoteza mtoto wake mmoja wakati Mke akiwa anajifungua.
Kupitia mtandao wa Instagram Ronaldo ametangaza msiba huo wa mwanae wa kiume kwa masikitiko makubwa huku akiwashukuru madaktari na manesi kwa msaada wao. Mtoto wao wa k**e amezaliwa mzima na kwa hilo mwanasoka huyo amesema wamefarijika sana.
Ronaldo ameomba faragha katika kipindi hiki kigumu kwake na kwa familia yake.
Mwisho amesema " kijana wetu, wewe ni malaika wetu. Tutakupenda siku zote".
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Address
Dar Es Salaam