APOYO

APOYO

Share

Avoid Poverty for Youth (APOYO):
our organization deal with
-Agriculture
-Business
-Animal keeping
-

15/09/2017

HAKIKISHA KATIKA MAISHA HAYA HUKOSI MOJA KATI YA HIVI UKIVIPATA VYOTE KWA WAKAT MMOJA NI JAMBO LA KHERI.

Muda.
Pesa.

Muda ukiutumia vizur utajenga mahusiano mazuri na ndugu, Jamaa na marafiki mpaka kupelekea kuwa mwenye network nzuri ya kutafuta pesa kwa njia moja au nyingine.

Kwa upande Wa pesa ukiitumia vizuri inakujengea mahusiano mazuri kwa ndugu, Jamaa na marafik hadi kupelekea kuwa muwezeshaji na muwekezaji mazuri katika biashara au shughuli zako.

18/10/2016

VIJANA TUJUE MIKAKATI YA SERIKALI JUU YA MAENDELEO YA VIJANA NA NCHI KWA UJUMLA

DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025 NA MPANGO ELEKEZI WA MIAKA 15.

MPANGO WA KWANZA WA TAIFA NA MAENDELEO 2011/12 - 2015/16 NA MKUKUTA

Ministry of Livestock and Fisheries Development United Republic of Tanzania 20/06/2016

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF AGRICULTURE, LIVESTOCK AND FISHERIES
IJUE WIZARA YA KILIMO NA MIFUGO HAPA http://www.mifugouvuvi.go.tz/

Ministry of Livestock and Fisheries Development United Republic of Tanzania

Photos from APOYO's post 13/06/2016
Want your business to be the top-listed Business in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


MBAGALA
Dar Es Salaam
CHARAMBE