Medics Updates

Medics Updates

Share

HEALTH And MEDICINE

14/02/2026

🚨It's ALL ABOUT LOVE & KINDNESS💚❤ ⚕

13/02/2026

🚨Anaitajika Pharmaceutical Technician Kufanya Kazi Polyclinic Dar es Salaam⚕💚💫

21/01/2026

CLOTRIMAZOLE Va**na Pessaries/Cream 💊Hii ni dawa inayo tumika kutibu Va**nal Candidiasis or Yeast Infections (Maana yake utibu fungusi wa Ukeni)

JE UTAJUAJE K**A UNA FUNGUSI WA UKENI.

▪︎Kuhisi Miwasho au Hali ya Kuchoma Ndani au Inje ya Uke.

▪︎Uwekundu, Kuvimba na Maumivu Ukeni.

▪︎Kutokwa na Uchafu Mweupe Ukeni husio na harufu.

▪︎Maumivu Wakati wa Kukojoa au Wakati wa Kufanya Mapenzi.

JE KIPI NI CHANZO CHA FUNGUSI WA UKENI.

▪︎Matumizi ya Mara kwa Mara ya Dawa za Ant biotics mfano Ciproflaxin, doxcycline, Amoxicillin, Metronidazole nk.

-Dawa hizi za Ant biotics zikitumika mara kwa mara Upunguza kinga ya Mwili na Kuua bacteria Walinzi waitwao Normal frola.

▪︎Kubadilika kwa Homoni.

-Hali hii utokea kwa Wajawazito, Wanao tumia Uzazi wa Mpango na Wanawake wenye Tatizo la Mfumo wa Mzunguko. (hali hizi zote upelekea kuzalisha fungusi ukeni)

▪︎Kuwa na Kinga dhaifu katika Mwili.

▪︎Matumizi ya Vitu vyenye Kemikali Ukeni.

Mfano: sabuni( medicated soap), Pedi, kupachika/kuingiza vitu Ukeni na kuvaa Nguo za Ndani za kubana kwa Muda Mrefu.

🚨follow us FB Updates.

05/01/2026

🚨MEDICS UPDATES💊💥

Ana hitajika Mtoa Dawa Mwenye ADDO..hasa wa kutoka Mikoa ya Kanda ya Ziwa k**a Geita,Bukoba,Kigoma n.k DUKA lipo Ngara-Mrunyinya.

Contact via 0658568846 au 0763585448.

01/01/2026

🚨2026 YEAR OF CHANGES And JOYFULLY💫🎊

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


583 Iringa Town
Dar Es Salaam
AFYANIUHAI��