Ambassadors Ukonga
Welcome to ambassadors youth choir official page. Local church Ukonga sda. Dar es salam, Tanzania.
11/04/2026
Tumetoka Ambassadors Day – Malamba Mawili 🙌✨
Sio tukio tu… ni ushuhuda wa pamoja wa neema ya Mungu juu yetu ❤️
Tumejifunza, tumetiwa nguvu, na tumeguswa rohoni kwa pamoja 💫🔥
Mungu ameendelea kuthibitisha kuwa yupo katikati yetu, na anatuongoza kila hatua 🙏
K**a kulikuwa na ukimya kidogo, samahani… tulikuwa tupo kwenye uwepo Wake 🙌🤍
Sifa na utukufu wote tunamrudishia Mungu 💯✨”
📖 Mathayo 18:20
“Kwa kuwa walipo wawili au watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.” 🙏
Blessed 🙌✨
18/08/2025
✨ “Kiongozi mmoja mwenye moyo wa huduma – akituongoza k**a Mabalozi na Pathfinders pia 🙌.
Kiongozi bora ni yule anayehudumu, si kutumikiwa’ (Marko 10:45).
‘Mtu akitamani kazi ya uaskofu, atamani kazi njema’ (1 Timotheo 3:1).
Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya viongozi wenye moyo wa kujitoa 🌿.
---
09/08/2025
Karibu tushirikiane ibada kuu ya Sabato, tukijifunza namna ya kujenga upya daraja la uhusiano uliovunjika 🕊️✨
📖 Fungu kuu: Mat 18:15
📅 Jumamosi | 09.08.2025
📍 Ukonga SDA Church
"
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Website
Address
Ukonga
Dar Es Salaam