Argosy Security Solution
31/12/2017
Tii amri bila shuruti
Polisi wajeruhi wawili kwa risasi wakidaiwa kukaidi amri Watu wawili wamelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiuguza majeraha ya risasi walizopigwa na polisi
21/12/2017
:Mtu mmoja aliyejitambulika kwa jina la Bahati Peter mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Old Shinyanga amefariki baada ya kupigwa risasi wakati akijaribu kuwatoroka polisi waliomkamata katika tukio la ujambazi.
Mtu huyo alikamatwa akiwa na bunduki aina ya short gun yenye namba za usajili 006096210 TZ iliyokuwa na risasi 10 inayodaiwa kuwa ni mali ya kampuni ya ulinzi ya unity security ya mjini Shinyanga iliyokuwa imeporwa na marehemu kwa kushirikiana na wenzake baada ya kumjeruhi mlinzi aitwaye Sospeter Richard.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Samora Avenue
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Sunday | 08:00 - 12:00 |
| 18:00 - 19:00 |