Kitengule Hospital
Your Health is Our Mission .
10/05/2026
Heri ya Siku ya Mama Duniani – Asante kwa upendo wako usio na kifani.
04/05/2026
Chanjo ya Homa ya Ini Inapatikana Kitengule Hospitali. Unakaribishwa kwa kwa vipimo na kuanza dozi ya chanjo k**a huna Homa ya Ini. Tafadhali tupigie kwa namba 0676 209 937 kwa msaada au maulizo zaidi
___________________________________
01/05/2026
At Kitengule Hospital, we celebrate the workforce of our nation and honor your hard work by supporting your health and well-being.
_____________________________________________
26/04/2026
Tunawatakia maadhimisho mema ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!
11/04/2026
Unakaribishwa katika idara yetu ya meno na kinywa kwa ujumla. Pia tuna huduma ya kuweka braces, kwa msaada zaidi tafadhali tupigie.
_____________________________________________
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Tegeta Kibaoni
Dar Es Salaam